Lowassa: Wananchi Anzeni Kusherekea na Kushangilia Ushindi

Huku zikiwa zimebaki siku 13, Mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea na anayeungwa mkono na umoja wa Ukawa Ndg. Edward Lowassa kawataka wananchi waanze sasa kushangilia ushindi na ukombozi wa pili wa Taifa hili.

Lowassa kasema hayo jana alipokuwa mjini Musoma, ambapo alipata mapokezi ambayo hayajawahi kutokea, tokea nchi ipate uhuru. Lowassa kasema kutokana na mapokezi na hamasa kubwa ya vijana, wakina mama, na wazee anayopata, kawataka wananchi waanze kushangilia ukombozi wa pili unaotarajiwa kutokea oktoba 25.

Lowassa kasema baada ya oktoba 25, kila mwananchi ataanza kufaidika na matunda ya mgao wa keki ya Taifa, na sio hali ilivyo ya sasa, ambapo keki inamegwa na wachache na kuacha vijana wengi, bodaboda, machinga, wakina mama vijijini, walimu, madaktari, wafanyabiashara, wauguzi, wakulima na wafugaji wakiwa hawana hata uwakika wa kupata milo mitatu. Hilo linakoma mara moja baada ya oktoba 25..

"najua uhuzi, masikitiko na mfadhaiko mliyonayo wananchi. Mwisho wa hayo yote ni tarehe 25, ndio maana nataka muanze kusherekea kuanzia sasa kwani naenda kuwatoa kwenye kifungo cha kunyimwa fursa na serikali ya CCM kwa zaidi ya miaka 54"...

Vile vile kawataka wananchi kwa uwingi wao siku ya tarehe 25.10.2015 wajitokeze kwa wingi sana sana kupiga kura...

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawalo mwenyewe atazirai baada ya tarehe 25 matokeo kutangazwa, maana anavoona umati anadhani wote wake, kumbeee....................

    ReplyDelete
    Replies
    1. Akili ya kufikiri hawana,hapo wengi ni wanywa viroba ambao hawastahimili foleni.
      wengi hawatapiga kura,na wengine hapo ni ACT,CCM, na hata wasiofungamana na upande wamejaa hapo.MUNGU IBARIKI TZ

      Delete
  2. Maweeeeee!ndoto.

    ReplyDelete
  3. vivaaaaaaa UKAWA!! vivaaaaaaa Lowasaaa! ushindi ni lazimaaaaa!

    ReplyDelete
  4. wote hao utaingia nao ikulu mbona itakua ndogooo ni shidaaaaaa,,,,,,

    ReplyDelete
  5. KWA NYINYI WANANCHI WA MUSOMA,HAKIKA UMATI HUU USIOHESABIKA KIRAHISI YAANI MAMILLION MMEONYESHA TANZANIA,AFRIKA MASHARIKI,AFRIKA NA DUNIA NZIMA KUWA,HAPA HAMUAMBIWI KITU NA CCM,YAANI HAMDANGAYIKI CHAGUO LENU LA MGOMBEA URAIS ANAYEFAA KUINGIA IKULU NI MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA,BASI.KWA NYINYI WATU WA MARA HUKO KWENU KULIKUA NA CHANGAMOTO KUBWA SANA LA MHESHIMIWA LOWASSA KUFITINIWA NA WANA CCM WALIOWAHI KUFANYA KAZI NA MWALIMU NYERERE NA PIA MTOTO MMOJA WA MWALIMU NYERERE MAKONGORO AMBAYE BAHATI NZURI NYINYI MNAMFAHAMU ZAIDI KWAMBA NI MWENDAWAZIMU. YUPO JOSEPH BUTIKU WA NYERERE FOUNDATION,YUPO JOSEPH SINDE WARIOBA NA YUPO STEPHEN WASSIRA.HAWA KWA UMOJA WAO [WA FIKRA ZA KISHETANI] WALIFITINI KICHINI CHINI LOWASSA APATE MAPOKEZI DUNI MKOANI MARA.WANANCHI WA MARA KOTE ALIKOPITA MHESHIMIWA LOWASSA MMELIONYESHA GENGE HILI BAYA KWAMBA LOWASSA NI CHAGUO LA WOTE,NA KWAMBA LOWASSA AKICHUKUA NCHI WATAKUA WAMEJIANIKA,WAMEUMBUKA,NI SHIIIDA KUBWA YA MSONGO WA MAWAZO NDIYO ITAKUA ZAWADI YA KUDUMU KWAO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad