Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid

Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine akazinguana na Wolper kwa mwanaume Mkongo aitwaye Radjab Mwami, kwake pia akazidiwa nguvu, akakaa pembeni, sasa amemnasa mwanaume huyo na hataki ugomvi na mtu.

“Nimekuwa mvumilivu sana kipindi cha nyuma lakini sasa hivi atakayethubutu kuniwangia nitamshushia kichapo, maneno haya yawafikie hao watu,” alisema Husna.
Ijumaa lilimtafuta Wolper kuzungumzia mkwara huo alipopatikana alisema: “Mimi nafikiri Husna bado ni mtoto, yaani hajakua kwa maana angekuwa ni mtu mzima na akili zake asingeongea mambo hayo.”
Lulu hakupatikana kupitia simu yake ya mkononi.

Chanzo:GPL

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ana nini Malaya mchanga asiyejuwa kuchamba wala kutawaza
    Mfyuuuuuu
    Ananuka uchi bibi nilimsaga ana shavu moja tepetepe
    Awwache hao si msago Kama yeye

    ReplyDelete
  2. na wewe malaya mpevu, una nini umesinyaa hata kisimi huna bwawa la mtera. Anony 12.14 AM.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bwawa la Mtera limekauka shoga ndo maana umeme mgawo
      Kunguru mweusi wewe
      Na shavu moja lako

      Delete
    2. Kisimi unacho wewe
      Una shavu moja limesimama kama kisimi ufunguo WA posta

      Delete
    3. Bora yangu Mimi mwenye kusinyaa kisimi Kama bwawa la mtera
      Limekauka Tanzania wanahangaika Na mgawo wa umeme jinsi niliyokuwa muhimu kwa Tanzania , haya wewe simi Kama bahari ya hindi Watu wanaingia bila Visa huachi

      Delete
  3. Mfyuuuuuuuuu
    Kwa wanaume gani hivyo vibabu vinuka shombo

    ReplyDelete
  4. Na pesa ya msimu
    Bunge, bajeti
    Huachi Malaya mchanga wewe
    Mimi mpambe nipo USA

    ReplyDelete
  5. Bora ya Mimi mtera linakauka
    Kulikoni wewe bahari ya hindi
    Kila kitu kinaingia bila visa

    ReplyDelete
  6. Safari ya India unayo bibi
    Kwa vizee vya CCM

    ReplyDelete
  7. Angekuwa anakupenda asingetutongoza
    Na kufika bei ya billion Upo

    ReplyDelete
  8. nyinyi wote ni wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad