Maalim Seif Akataa Maamuzi ya ZEC, Atoa Tamko Zito!!!

Kwa ufupi kazungumziaa yafuatayo.

1. Mwenyekiti wa ZEC hana mamlaka ya kufuta uchaguzi

2. Anahoji kwa nini Makamu wa ZEC akamatwe na vikosi vya ulinzi na kupelekwa pasipojulikana

3.Kama uchaguzi umefutwa kutokana na dosari, basi hata wa rais wa jamhuri ufutwe kwani wote hao waliandikishwa kwenye daftari moja na kudumu zanzibar na walipiga kura kituo kimoja.

4. Hatambui maamuzi ya mwenyekiti wa ZEC kwani hakuna kikao cha tume kilichokaa kukubaliana na hilo na pia kusema kwamba hayo ni maamuzi binafsi ya mwenyekiti

5. Anaiomba umoja wa kitaifa na nchi jirani kuingilia kati

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NAWASHUKURU UDAKU SPECIALLY,MMEREJESHA HESHIMA YENU YA KURUHUSU MAONI KWANI HATUELEWI KWA NINI MLITUFUNGIA TOKA TAREHE 18 OCTOBA HII.MIMI NAUNGA MKONO TAMKO LA SERIKALI YA MAREKANI KUPITIA BALOZI WAKE ALIYEPO NCHINI,KWAMBA UCHAGUZI WA ZANZIBAR ULIENDA VIZURI NA MATOKEO [MPAKA JANA TRE.27]YAMEKUA YAKITOLEWA VIZURI VIKIAMBATANA NA TAMBO TOKA GAZETI LA CCM KWAMBA DR.SHEIN ANAONGOZA KWA MBALI WAKATI MAALIM SEIF YUPO HOI.GHAFLA LEO SIKU YA KUKAMILISHA MATOKEO TOKA UPANDE WA PILI WA ZANZIBAR YAANI PEMBA,MWENYEKITI WA ZEC JECHA SALIM JECHA ANATANGAZA KUYAFUTA MATOKEO,NA KUUFUTA UCHAGUZI KANA VILE HAUKUWAHI KUFANJYIKA.SISI WATANZANIA TULIPOFIKIA HILI LIPO NJE YA UWEZO WETU.SASA HIVI POLISI WANATUMIKA KUWAKAMATA WANAOHOJI.TUNAWAOMBA BALOZI MBALI MBALI ZILIZOPO NCHINI, OBSERVERS WA AU,EUROPEAN COMMISSION NA WENGINEO MUINGILIE KATI. AANI MTUSAIIDIE KUWASUTA VIONGOZI WETU. NI JAMBO LA AIBU,LISILOVUMILIKA.

    ReplyDelete
  2. Rais muhimu tunaemtaka ni wa jamhuri ya muungano huyo wa zanziber atachaguliwa baadae pia toeni mawazo ya kuwa ccm itatoka madarakani musipoteze muda wenu

    ReplyDelete
  3. Sass hua tunapoteza muda wa nini kupiga kura?

    ReplyDelete
  4. Ww unaesema rais muhimu ni jamhuri ya muungano pekeyake,hv kweli hm kichwani kuna kitu kweli?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad