Magufuli Aliteka Jiji la Mwanza.......Hapa Kuna Picha Kadhaa za MAFURIKO Yake-Octoba 17

Mgombea Urais Kutoka chama cha mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli ameweka historia katika jiji la Mwanza maarufu kama Rock City. Maelfu ya watanzania wameonesha msimamo wao wa kumuunga mkono Mgombea wa CCM Dr. John Pombe Magufuli.








Top Post Ad

Below Post Ad