Magufuli Awashukia TANESCO....Awapa Onyo Kwa Kinachoendelea Sasa..Adai Akiingia Ikulu Wajiandae Kuondoka Ofisini

Magufuli amewaambia TANESCO wajiandae kuondoka ofisini baada ya uchaguzi.Kayasema  hayo  jana  jijini Arusha Tazama Video Hii:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi ni ACT-wazalendo,kura yangu nampa huyu Magufuli kwa kuwa nina uhakika mgombea wangu hawezi kupita,sasa kuliko nipoteze bure nitamuongezea Magufuli,sorry!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatutaki kura yako wala ya mkeo na watoto wenu
      Lowassa rais

      Delete
  2. Eeeh mwenyezi Mungu,mpe ufahamu zaidi Magufuli,aweze kutimiza ahadi zake bila kutuangusha Wananchi tunaomkubali pindi atakapoingia ikulu.Twakuomba utusikie.

    ReplyDelete
  3. JAMAAAA ANAKURUPUKA HUYO MUNGU TUSAIDIE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad