Mazingira ya Ajali ya Mwenyekiti wa Chama ni ya Kutatanisha:UDP

Kauli hii imetolewa na uongozi wa chama cha UDP ,kuwa kifo cha mch mtikila kuna mazingira ya utata kufuatia nyenendo zake za hivi karibuni na mikutano Aliyoifanya mwenyekiti kwa kuwataja baadhi ya watu wakubwa katika uhusika wao na ufisadi nchini
Hivyo basi tunaomba serikali na vyombo vya dola vya nje na ndani kufanyia uchunguzi tukio hili
Source:clouds tv

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KIFO CHA NYERERE-UTATA,KIFO CHA SOKOINE-UTATA,KIFO CHA WAZI CHA BINADAMU MTANZANIA MAARUFU-UTATA,HIKI NDICHO CHEO HALISI CHA WATANZANIA WA TANZANIA: UZUSHI,UONGO,UNAFIKI,MAJUNGU,KUPINGANA WAZI WAZI NA MUNGU.NA HII NDIYO ALAMA KAMILI YA UBONGO WA WATANZANIA TULIO WENGI: UZUSHI NA UNAFIKI.MWENYEZI MUNGU HAPA TUNAMUWEKA KANDO.HII NI FEDHEHA KWA TAIFA.EWE MWENYEZI MUNGU MUUMBA WETU,WAANGAMIZE MASHETANI HAWA WA UZUSHI ILI NCHI YETU IFUATE MUELEKEO SAHIHI WA KUKUJUA NA KUKUABUDU WEWE.KIFO CHA MTIKILA KIPO WAZI KABISA KWA ASILIMIA 100.HAKUA PEKE YAKE KATIKA GARI,WALIKUA WANNE.HAWA WATATU WAMENUSURIKA AKIWEMO DEREVA WAMEKWISHA ONGEA,CHANZO KILIKUA NI MWENDO KASI,NA MAREHEMU MTIKILA MARA KADHAA ALIMUONYA YULE DEREVA KWA MWENDO WAKE HATARISHI.POLISI WAMETIMIZA VIZURI WAJIBU WAO MASHETANI WAZUSHI WANASEMA HAPANA,UPO UTATA WA KIFO CHAKE.TUNAOMBA POLISI WAWAKAMATE WAZUSHI HAWA MASHETANI IKUMBUKWE NI GENGE HILI HILI NI HAWA HAWA WALIZUSHA HIVI KARIBUNI KWAMBASE MKUU WA MAJESHI JENERALI MWAMUNYANGE AMELISHWA SUMU ,TUNASHUKURU POLISI KWA USHIRIKIANO NA JESHI LETU WAMEKWISHA KAMATWA.OMBI WASIRUDI TENA URAIANI,WAHUKUMIWE KIJESHI.HUU UWE NDIYO MWANZO WA DAWA YA KUDUMU KWA WENDAWAZIMU HAWA.UZUSHI NI AINA YA KICHAA.JESHI LA POLISI PAMBANENI NA WAHALIFU HAWA.SIKU ZOTE NIA ZAO NI KULICHAFUA JESHI LA POLISI NA KUZUSHA HOFU MIONGONI MWA JAMII.NI JAMBO LA HATARI SANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad