Mjane wa Deo Filikunjombe Atoa Ujumbe Mzito Kuhusu Maisha ya Ugumu Waliyopitia na Marehemu

Please Read and Share this touching message from the wife of the former Member of Parliament and the MP candidate for Ludewa constituency, Late Hon. Deo Filikunjombe, Mrs Sarah Filikunjombe… This has touched my heart indeed:


Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana sarah piga moyo konde na Mwenyezi Mungu atakusimamia, ninaimani utawalea wanao kwani wewe ni jembe mama. Mungu akupe nguvu

    ReplyDelete
  2. Pole sana Sarah,usijali ya watu bali jali ya Mungu,wasamehe wenye kumsema vibaya mumeo,usionyeshe chuki hata kidogo,wenyewe nafsi zitawasuta,simama kwa Kusali sana, duniani tunapita tu dear.Mwenyezi Mungu akusimamie katika kila jambo lililo mbele yako.

    ReplyDelete
  3. pole mamii,, kufiwa na mime ni mtihani mkubwa maishani,, achana na mambo ya nyumba mali watasema sana haikusaidii,, wewe wajua ulivyoumia.. love to all strong widow women!

    ReplyDelete
  4. acha malumbano na watu, daima hawaishiwi maneno, muombe Mungu endelea na yako, ukifuata ya watu utapata shida achana nao

    ReplyDelete
  5. Pole mama Mungu ata kulinda na wanao del alikuwa kiongozi mzuri mchapakazi alie faa kuigwa wache wapumbavu waongee kwani hawana jipya ata mwananchi Wa kawaida anaweza miliki huo mjengo sow kunaubaya gani del kuishi mahali pazuri siyo kila mwenye maendeleo mwizi watanzania tuondoke kwenye Mawazo ya laana eshimuni utu Wa MTU na Mali zake mkumbuke haziwahusu mkae pembeni mum tena kama unapenda siasa basi kasimame kwenye nafasi ya mumeo uwasaidie wanaludewa pale deo alipopaacha daima tutamkumbuka Ndugu yetu deo

    ReplyDelete
  6. Mrs. Deo hivi kuna haja gani ya kuongelea watu ambao hauwajui wala hawakujui!? wamekujua hivi juzi baada y akusikia msiba..... my dear your going to face a lot of challenges na hizi unazoandika ni mwanzo tuuu..... I KNOW YOUR VERY STRONG WOMAN YOU CAN HANDLE IT. na pia ukumbuke MwenyeziMungu hampi mtihani mtu ambaye hana uwezo wa kufaulu mtihani huo. wewe kuondokewa na mume ni mtihani mkubwa ila wewe ni wa Mungu na utashinda achana na watu wanaoongea ovyo wanatamani wangekuwa ni wewe hata katika kipindi hichi kigumu, na hawawezi kuwa wewe YOUR SO SPECIAL. That is my GIRL please go on with your life kumbuka kusali sana na kufunga.Mungu yupo pamja na wewe daima

    ReplyDelete
  7. kwanza pole sana nafahamu yakuwa sisi wanadamu huwa hatuishiwi ya kuongea mimi nakuombea Mungu akupe punzi ya kutosha na akuepushie magonjwa.Amen

    ReplyDelete
  8. pole sana napia fahamu watu huwa awahishiwi ya kusema ktk dunia hii na baya zaidi ukiwa na maaendeleo kikubwa ni kumuumba mungu akupe pumzi ya kutosha na familia ienderee.

    ReplyDelete
  9. Sarah acha kuseek attention kwenye media, ukiwapa mwanya hawa watu WA media ipo siku utajikuta hupumui, maana hata ukijikwaa utakuta ushaandikwa, kabla ya mumeo kufariki wengi hatukukufaham, tumekufaham baada ya mumeo kufariki. Hakuna haja ya wewe kuongea na media pasipo sababu za msingi. Mumeo alikua Ni mtu maarufu kusemwa na watu Ni kawaida kwa mtu maarufu, haina haja ya wewe kupigizana nao kelele. Mliishije maisha yenu nyie ndo mnajua. Mungu akupe nguvu na ujasiri ktk kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete
  10. pole sana mpendwa wetu. Mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu...AMEN

    ReplyDelete
  11. Kifo kinatuhusu sote, isipokuwa hatujijui nani atatangulia na kwa wakati gani. Huwa siku zote namwambia mwenzangu kuwa strong wala usijione kuwa utashindwa. Ninafurahi kuona sehem ya sms yako ikisema kuwa utakuwa strong kizuri pia jamaa yako amekushirikisha hivyo at least unayo elim ya ujasiriamali ambayo nina diriki kusema ni wachache wanaopata kushirikishwa na waume zao hasa wenye muonekano kama wako, nadhani naeleweka nikisema hivyo.
    But ninaamini wapo watakaojifanya wanakuonea huruma na kujifanya ndo wapo karibu sana na wewe kwa wakati huu mgumu kwako, Omba sana hekima ya Kimungu ujue jinsi ya kuishi nao. Mungu akutie nguvu hasa aendelee kukutunzia heshima yako kwa ajili ya familia yako, jamii inayokuzunguka na kwa ajili yake pia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad