Mrembo Tunda Ajichora Tatoo za Wanaume Kibao Aliotembea Nao

LICHA ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’, video queen Bongo, Tunda Sabasita anadaiwa kujichora tatuu za wanaume kibao mwilini mwake.

Kwa mujibu wa chanzo kilichozungumza na Amani ni kuwa, ‘muuza nyago’ huyo kwenye video za Bongo Fleva haoni shida ya kujichora tatuu hizo na kwamba ndiyo furaha yake na kumbukumbu pindi anapokuwa nao.

“Kwa sasa anatoka na Young D lakini mkono wake mmoja una tatuu imeandikwa Side, sehemu nyingine Young D na sehemu nyingine ameandika majina ya wanaume wengine kibao aliotembea nao,” kilisema chanzo.
GPL
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad