MTANGAZAJI Sam Mahela Pongezi Kwako, Hongera kwa ITV Pia


Huyu kijana anajitahidi kwa kweli. Amenifanya niangalie zaidi ITV. Anakuletea kitu live, penye kukimbia anakimbia hata kwe mabomu. Yupo safi.

Nakuombea Mungu akuinue..

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kweli kijana YUKO VIZURI. Naungana nawe kamanda kumpongeza SAM MAHELA. Heko kwa ITV mumtunze ili atutunze na sisi jamii tunayoitazama ITV pia.

    ReplyDelete
  2. Nami nawaunga mkono kwakweli kijana yuko vizuri anaipenda kazi yake maana nilikuwa nasisimka kila nikiangalia anavyofayakazi ukweli usilewe sifa endelea hivyo hivyo inapendeza waandishi kama weweni mfano wa kuigwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad