Chama cha Mapinduzi kimesema hatua ya kuondoka kwa Mzee Kingunge ndani ya CCM, imekuwa afadhali kwao kuliko angeendelea kubaki.
Katibu wa Itikadi na Uenezi amesema kuwa vitendo alivyokuwa anavifanya Mzee Kingunge vilikuwa vinawagawa wananchama ndani ya Chama
Nape amesema kuwa kitendo cha Mzee kingunge kumuunga mkono mgombea mmoja ndani ya Chama kilikuwa kinawagawa wanachama, alikuwa mzigo ndani ya chama.
Nape amesema kama chama walikuwa wanashindwa hatua gani wamchukulie mzee Kingunge.
Ni hawa Watoto wa leo wasio na heshima na adabu. Mzee kaondoka. mwanzilishi wa TANU. Kakulea CCM. Dharau yako na utovu wa adabu kwa vile upo na ngazi za juu cha CCM. Huna hata nidhamu kilugha na unadhifu angalau kusema tu sawa mzee ukaachia hapo.
ReplyDeleteNi nyinyi mliojifanya miungu wa nchi hii bila heshima, woga, ibada, na elimu wala ustaarabu kujua kuwaenzi watu. Ndio nyinyi mlioiua CCM. yako inakuja. Kamba hukatika pabaya. Upo juu leo hujui la kesho. Madaraka huwa ni ulevi usiofundishika.
PALE KIMEWAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteKILA ATAKALOLIONGEA NAPE NAUYE KUHUSU CCM SI LA KWAKE UJUE NI LA BOSI WAKE JAKAYA MRISHO KIKWETE.HUU NDIO UKWELI NAPE NI KING'AMUZI TUU,REMOTER NI KIKWETE.IWAPO KAMA CCM ITAANGUKA VIBAYA KWENYE UCHAGUZI MKUU HUU WA OCTOBA 25 BASI CHANZO KIKUU CHA KUSHINDWA HUKU KITAKUA NI HUYU MWENYEKITI WA CCM WA SASA,JAKAYA.MIMI NI MWANACHAMA WA CCM[ NILIJIUNGA JUNE 1978] NA KWA MUDA WOTE HUU WA MIMI KUWEMO NDANI YA CCM,SIJAWAHI KUONA VITUKO KATIKA UONGOZI MZIMA NA UTEUZI NA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA CCM KATIKA NGAZI YEYOTE.KAMA ILIVYOTOKEA JULY 2015 MJINI DODOMA.HIKI NDICHO CHANZO KIKUU KILICHOELEKEA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU KUJIONDOA UANACHAMA WA CCM MZEE NGOMBALE KWA ASILI YAYE NI LIBERAL SANA,ALIUKATAA UHUNI ULE WA KIKWETE DODOMA,ALIHOJI,AKAWA KAJITENGENEZEA UADUI NA KIKWETE.KIKWETE ANA ROHO MBAYA SANA ILIYOJAA CHUKI NA MALIPIZO .DODOMA KIKWETE ALIKUA NA MTU WAKE WA MFUKONI [BERNARD MEMBE ],MKAPA ALIKUA NA MTU WAKE WA MFUKONI [JOHN MAGUFULI],KINANA ALIKUA NA MTU WAKE WA MFUKONI [JANUARY MAKAMBA].SASA KILICHOFANYWA NA KIKWETE KAMA MWENYEKITI KILIKUA NI MATUMIZI YA MBINU CHAFU [DIRTY TACTICS ]ZA KUHARIBU PROTOKALI NA MWENENDO MZIMA WA TARATIBU ZA VIKAO KWA SIKU MOJA DHAMIRA YA KIKWETE NA FAMILI YAKE -HII SIO SIRI-ILIKWAMA,KWA MAKUSUDI TULIMKATAA MEMBE AKAWA WA MWISHO KWENYE TANO BORA ZA HALMASHAURI KUU ,NA KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA YA CCM VILIFANYIKA VIKAO VITATU YAANI KAMATI, KUU,HALMASHAURI KUU,NA MKUTANO MKUU ILI KUMPITISHA MGOMBEA [UNDER EXTREME DURESS ].NILIKUWEPO DODOMA NIKIWA MMOJA WA WAJUMBE WA MIKUTANO ILE ] NAKUSUDIA KUANDIKA KITABU KUHUSU HILO;SOMO ;KUPARAGANYIKA KWA CCM;-CHANZO HILA CHAFU NA CHUKI ZA KIKWETE
ReplyDeleteMbona hamjapyblish hoja yangu.
ReplyDeleteMaombi yetu yamejibiwa na Muumba,kajiengua mwenyewe.
ReplyDeleteWanafiki na ving'ang'anizi hawatakiwi CCM kabisaaaaaaaaa.
kila mtu akiondoka ni ahueni kwao, mfa maji mfa maji tu hakosi kutapatapa!!
ReplyDeleteWatu wengi humu ndani nadhani hamjui,mdau uliejiunga ccm june 1978,Unamfahamu mtu alietumika kumkata john malecela 2005 dodoma,ni huyo babu yako (investigate) unaemtetea kwa kinywa kipana,maamuz ya wengi ndio maamuzi bora, Anajua chama kina nidhamu zake na wao ndio walioziweka,walithubutu kumkata jk 1995 kwa nidhamu hizo hizo za kichama hilo husemi. jk akavumilia 220 akatusua.Ni aibu mzee kama yule kununuliwa (kama ni kweli) katika makamo yale huwezi kutoka hadharani kusema mgombea fulani akikatwa patachimbika, mmmh inatia shaka sana.
ReplyDeleteAnajua kabisa rais wa nchi hachaguliwi kwa wasifu mmoja tu eti anapendwa na watu lakin kama chama lazima kijiridhishe na sifa za ziada za mgombea kumpa dhamana ya kugombea ,na kwani lazima mgombea unaemtaka wewe ndohuyo apite,Hata hivyo ametusaidia aende kwenye mabadiliko kwetu alishakosa thamani siku nyingi hakuwa na wadhifa wowowte na hata baraza la maadili la wazee hakuwemo.akale pension yake na bro edo
dunia tunapitu na malipo huja hapa hapa duniani mzee kama yule unamtukana ni kama kumtukana mzee wako ngoma ikivuma karibu ya kupasuka, mungu hakuachi abadan nape na wenzako.
ReplyDeleteNAWASHUKURU SANA NAPE HAPA AKIWA NA BABA YAKE PIUS MSEKWA [NAZIJUA SCRIPTS ZAO A TO Z ] KWA UTETEZT WAO WAKITANGULIZA HOJA MBILI KUSUDIO LAO LIKIWA KUMHUSISHA MZEE KINGUNGE KWA KUKATA JINA LA KIKWETE 1995[ WAMEACHA KWA MAKUSUDI [MABAYA ] JINA LA ADUI WENU NAMBA MOJA EDWARD-LOWASSA-NA AKAPITISHWA MKAPA.MNASEMAJE,MKAPA ALIYEWALETEA MAGUFULI HAMUMTAKI?MNAJICHANGANYA KAMA WEHU.JEE MNAJUA MKAPA LILIKUA NDIO CHAGUO LA HAYATI MWALIMU ?-SHIKENI ADABU NAPE NA BABA YAKO MSEKWA.HOJA YA PILI MMEMHUSISHA MZEE NGOMBALE KWA KUKATA JINA LA MALECELA.MATOKEO YA KUKATWA JINA LA MALECELA ILIKUA NI KUPITISHA JINA LA RAIS WA SASA JAKAYA KIKWETE [HIVI KUMBE MNAMCHIMBA JAKAYA YAANI HAMNA ADABU].KWA MZUNGUKO HUO WA KIUENDAWAZIMU MNAOUTANGULIZA KUYATETEA MAOVU YENU YA- DARK JULY-NA KWA UPUMBAVU MKUBWA MNAPOJINASIBU KWAMBA MHESHIMIWA LOWASSA HAKUKIDHI VIGEZO VYENU,MIMI NASEMA HIVI,NISIKLIZENI.AKIWA NJE YA CCM,MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA AMEKIDHI,TENA KWA KUPITILIZA VIGEZO VYA RAIA WA TANZANIA VYA KUMPATA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.WATANZANIA TULIO WENGI TUNAMPA MHESHIMIWA LOWASSA NCHI SIKU YA JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 KUPITIA SANDUKU LA KURA.
ReplyDeleteChakula cha bwana huyu nape jamani
ReplyDelete