Nimesikitishwa na Taarifa za Kukamatwa kwa Vijana Wenzetu Wataalamu wa IT Waliokuwa Katika Vituo vya Majumuisho ya Kura za Mgombea wa UKAWA


Nimesikitishwa na taarifa za kukamatwa kwa vijana wenzetu 199 Wataalamu wa IT waliokuwa katika vituo vya majumuisho ya kura za mgombea Urais UKAWA.Huu ni UONEVU dhahiri kabisa. Inauma zaidi kwa wao kunyimwa kabisa dhamana.Hii si HAKI.
Sitaki kuamini tumefikia hapa,sitaki kuamini uonevu wa kiasi hiki unatendeka kwa manufaa ya kisiasa.....


Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unajua nini wamefanya mpaka wakakamatwa,au unaropoka tu kwa kuwa una uhuru wa kuandika?Unajua na hao wengine wametoka wapi,wamekujaje?Fatilia kabla ya kueneza ujinga.

    ReplyDelete
  2. Mbona CCM wapo to urusi, China
    Mahack wakubwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad