Paul Makonda: Uchaguzi wa Mwaka Huu ni Kati ya Waadilifu (CCM) na Vibaka ( Ukawa)

Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mweza wa Urais kupitia CCM Bi Samia Suluhu Hassan,mkoani Mwanza.

Makonda amesema kuwa hakuna uchanguzi mwepesi na raisi  kwa  CCM  kama wa mwaka huu

Kasema  mwaka  huu  CCM  inapambana  na  Vibaka,Wachochezi  na  Mafisadi  waliokimbilia  UKAWA.

Msikilize Makonda akizunngumza hapo chini

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ENDELEEEEEENI KUMWAGA PETROL KWENYE MOTO HAKUNA KITAKACHO BADILIKA HAPA HATA MSEME NINI BORA VIBAKA UKAWA KULIKO MAJAMBAZI CCM

    ReplyDelete
  2. KWANZA MTUJIBU UCHUMI 7% TOKA 2005 MPK & 7.9% 2015 KWELI ? MMEKALIA MATUSI TUUUUUUUUUUUUUU TUKIWAAMBIA MMECHAPOTEZA MWELEKEO?KWANINI TUSIWACHAGUE MMEISHIWA PUMZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAMUWEZI TENA NA TENA KUPANDA MLIMA KITOGA

    ReplyDelete
  3. Hawane sera kabisa hawa, wamekalia uongo, matusi na kejeli, na wewe chukua lile tusi la Aunty!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Kany*** hukoo,,,hapa mabadiliko tu

    ReplyDelete
  5. makonda anasema hakuna uchaguzi mwepesi kwenye historia ya ccm,kama uchaguzi wa mwaka huu 2015.mimi ni mwanachama mkongwe wa ccm,veteran kweli-kweli,sijahama chama na,nikiichukua kauli ya mwanangu makonda,kauli peke yake na kwa kuzingatia uhalisia wa mwenendo wa kampeni unavyoonekana na unavyoendelea nchini tanzania,hali inayoonyesha kwa dhahiri na wazi kabisa kwamba ccm tumeelemewa vibaya kabisa yaani mgombea wetu wa urais mheshimiwa john pombe magufuli.ni wazi kabisa,tena bila chenga kwamba amepitwa kwa mbali sana,mbali mno na mgombea urais wa ukawa-chadema edward lowassa,hii siyo siri.kuhusu wabunge naomba nikiri kwamba kwa hili silielewi vizuri.lakini kwa upande wa rais chonde,chonde makonda,tusiwe waongo kana kwmba hatuoni,hatusikii aa ni dhambi kubwa,.lakini kwa hadaa za political never-die tactics nipo pamoja na wewe makonda, yaani mheshimiwa magufuli atashinda kwa asilimia 99.15 kilichobaki lowassa atagawana na wagombea wenzie sita waliobaki.asante.

    ReplyDelete
  6. Hatujibizani Na nashoga siye
    Tunajibizana Na wanaume wanaweza kujibizana kwa hoja Na sera Na siyo matusi ya ki shoga
    Fyuuuuuuuu eti mkuu WA wilaya tena Kinondoni
    Sorry JK

    ReplyDelete
  7. Wanaume waliotumia migongo Yao kupata vyeo utawajuwa kwa tabia zao
    Bora vaaeni dira tujuwe moja

    ReplyDelete
  8. Kibaka yeye Na aliyemchagua
    Fyuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. Acha atukane ana wiki mbili tu huyu
    Hakuna kisasi
    Ila ukuu WA wilaya na ukuu WA mikoa haupo tena kwetu Ukawa
    Wote watachaguliwa Na wanainchi Na rais uongozi wetu ni mamlaka ya wanainchi

    ReplyDelete
  10. wanatumia muda mwingi kuzungumza watu,badala ya kuwaeleza wananchi kwa nn wameshindwa kutekeleza ahadi walizoahid ndani ya miaka 10.wamekalia polojo...siasa za polojo tupa kuleee...tunataka mabadiliko halisi...sisi tumemwelewa lowasa tumemwamini huyu ndiye mzalendo wa kweli anayesimamia anayosema...LONG LIVE LOWASA...LOWASA IS A SYMBOL OF LOVE!...NAKUPENDA SANA LOWASA, I COUNT YOU MY FATHER

    ReplyDelete
  11. I LOVE LOWASA FROM THE BOTTOM OF MY HEART

    ReplyDelete
  12. MTAITA MAJINA YOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE LAKINI KURA MTUWAPI

    ReplyDelete
  13. Anaongea ukweli nyinyi ukawa mnapanic nn imewagusa au maana mnapenda kuongelea nafsi za watu mnafikiri wote sisi vijana au raia tunapenda ukawa wengi tunajielewa na tunajua rais mchapakazi ni yupi ni magufuli na sio huyo mkwapuaji lowasa huyo mtampa kula wenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ataongozwa na kamati kuu iyojaa majizi ya CCM

      Delete
  14. Nyie ukawa sera yenu ipi maana kama hata ilani tuu hamna mtakuwa sera nyinyi mgombea wenu anakazi yakusema nachukia umasikin kwenye za third world country umaskin ndio orign basi akagombeee malekan huko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumesiki sera miaka 54 Inatosha
      Inatosha we need action action and it's only from Lowassa and ukawa

      Delete
    2. Utajiri kwa viongozi wa CCM
      Wakiumwa India
      Hata OP tezi dume ulaya
      Fyuuuuuuuuuuuu

      Delete
    3. Utajiri kwa viongozi wa CCM
      Wakiumwa India
      Hata OP tezi dume ulaya
      Fyuuuuuuuuuuuu

      Delete
    4. Watanzania hatuitaji ilani Na sera Kwani zimetusaidia
      Maneno Mengi Mengi vitendo Hakuna Hakuna
      Tumechoka
      Lowassa Lowassa hana maneno yeye vitendo Na maamuzi magumu

      Delete
  15. Makonda Huna ustaarabu, Mswahili fika, ni mtoto uliyepewa wadhifa kumchungia dingi wenu. Mtaisoma namba. Ni kijana nnoja mpotoshaji umewauza kabila lako, umewatumia, umewadanganganya na mmewaacha mkoa wako mkiwatisha kutumia udini kuvimbisha matumbo yenu.
    Leo mmemsaidia dingi kukijenga kijiji, je Kakijengaje? pesa za nani. Watu hawana hospitali, wanakaa chini Wanafunzi, Hakuna madawa. Nyinyi mmejifanya miungu hamguswi. Haya, Lowassa anaingia. Mliyempiga mkwara kulinda maslahi ya dingi. Nawatakieni kila la kheri sababu mtapelekwa mahakamani. Hata mkipoteza, mkiua, au kunyanysa watu. Kila kitu kina mwisho.
    Mwisho wenu ndio huu.
    Kwa heri Wezi wa mali za umma za Watanzania.

    ReplyDelete
  16. katika jitu lisilo kuwa na busara au hata hekima ni hili jamaa makonda.

    ReplyDelete
  17. KILA LILILO NA MWANZO LINA MWISHO.CCM MLIKUA NA MWANZO NA SASA MMEFIKIA MWISHO.UPENZI WA WANANCHI KWA LOWASSA HAUNA KIFICHO,NI KUBWA MNO,MNO.KWA MAANA NYINGINE WANANCHI WALIKWISHA CHAGUA,IMEBAKI SIKU YA KUPIGA KURA TUU YAANI TAREHE 25 OCTOBA 2015.

    ReplyDelete
  18. SISIEM MATUSI HAYO!!! MWISHO WAKE 25 OCTOBER

    ReplyDelete
  19. CCM MIJIANDAYE KISAIKOLOJIA

    ReplyDelete
  20. TUKANENI MTAKAVYO ILA KURA YANGU NI LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  21. TUKANENI MTAKAVYO ILA KURA YANGU NI LOWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  22. KAMA KUNA VIJANA WASHENZI,NG'OMBE KUPINDUKIA NCHINI TANZANIA WALIO CHINI YA JUA NI HUYU PAULO MAKONDA.MTAKUMBUKA ANA UOVU MWINGI SANA.KUWATUKANA VIONGOZI,KUWAPIGA VIONGOZI[ ALIMPIGA TEKE BAYA TENA SEHEMU MBAYA MWANA CCM MWENZAKE MZEE WARIOBA ] NA SASA HIVI ANAENDELEA KUSIMAMA KWENYE MAJUKWAA AKIENDELEZA WIMBI LAKE LA SIASA ZA MAJI- TAKA.TUSIENDE PEMBENI PROMOTER WAKE MKUU NI MWENYEKITI WA SASA WA CCM JAKAYA MRISHO KIKWETE.YEYE NDIYE ANAYEMPA VYEO NA NYENZO NA UJASIRI HUU WA HASARA KUBWA ALIO NAO.KIKWETE AMEBAKIZA KWA SASA TAKRIBANI WIKI MBILI ZA UTAWALA NCHINI TANZANIA.NADHANI KIKWETE NA MAKONDA HAWAIFIKIRII KESHO YAO KAMA RAIA WA KAWAIDA WA NCHI YETU ITAKUWAJE.WAJUE ITABIDI DOLA,KWA KUFUATA TARATIBU NA SHERIA KUANZA KUWACHUKULIA HATUA ZA KIMASHTAKA. KWAO ITAKUA NI POLISI,MAHAKAMANI, NA JELA.HAKUTOKUA NA NAFASI YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI,KWA SABABU HILO NI KOSA LA KISHERIA.HATUTOFANYA HIVYO.KILA KITU TUTATANGULIZA KUZINGATIA SHERIA NA TENA BILA SHURUTI.TUTAWAACHIA POLISI WAFANYE KAZI ZAO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chakula cha bwana ndo maana anatamba

      Delete
  23. aante sana,hizo ndizo salamu kamame kwa makonda.anawatukana sana viongozi wetu tena bila sababu,anatafuta wamjibu,hawawezi kufanya hivyo kuna usemi mmoja wa kiingereza unasema "never argue with a fool,people might not notice the difference" yaani kwamba usibishane[hadharani] na mkosa akili[ maadili] watu [waungwana] hawawezi kugundua mkweli.ila tuu tunaviomba vymbo vyetu vya dola husuani polisi na dpp wajipange vizuri.kwa lowassa hilo halina simile.spidi ni 120 mph.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad