Pinda Amshangaa LOWASSA Kwa Kujitapa Kuondoa Umaskini Ndani ya Siku 100....Amwambia Haya Hapa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewabeza wanaosema umaskini wa Watanzania unaweza kuondolewa ndani ya siku 100.

Akizungumza na wakazi wa Usevya na vijiji vya jirani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Usevya, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Pinda alisema umaskini wa Watanzania si wa siku moja.

“Ninashangaa kusikia watu wakijitapa kuwa eti wataendesha nchi kwa kasi ya ajabu na kwamba, ndani ya siku 100 watamaliza shida zote na kuondoa umaskini miongoni mwa Watanzania.

“Kazi ya kuongoza nchi inataka umakini, uzoefu na watu waliobobea kwenye uongozi. Hii si kazi ya majaribio hata kidogo. Eleweni kuwa changamoto ni sehemu ya maendeleo,” alisema.

Mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, amekuwa akisema anachukia umaskini na ataweza kuuondoa katika kipindi kifupi akiingia Ikulu.

Akimzungumzia mgombea urais wa CCM, Pinda alisema: “Tuaminini CCM na tupeni nafasi tufanye kazi kwa kumpa kura zote Dk Magufuli, mbunge wa CCM na madiwani wa CCM.”

Alimpamba Dk Magufuli kuwa ni mchapakazi anayeweza kukabiliana na kero mbalimbali za Watanzania na hakuna mwenye shaka na utendaji wake.

Kwa upande mwingine, Pinda amewaonya wanaobeza juhudi za kuleta maendeleo zilizofanywa na Serikali tangu wakati wa Uhuru.

Alisema wapo wanaofananisha maendeleo ya Rwanda na Tanzania wakati ukubwa wa nchi hiyo ni kilometa za mraba 27,000 wakati Tanzania ni 945,000 ambayo ni kubwa mara 35 zaidi ya Rwanda. “Ukubwa wa Rwanda ni sawa na wilaya moja tu ya Mlele ambayo ina zaidi ya kilometa 29,000.

Tuna wilaya ngapi kubwa kuliko Rwanda?” Alihoji na kuongeza: “Acheni tabia ya kulinganisha vi-nchi vidogo na Tanzania. Kazi ya kuleta maendeleo siyo ndogo.”

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAYO MANENO PINDA ULIYAPATA WAPI.UKISIKIA KUROPOKA NDIKO HUKO NA WEWE NDIYE MROPOKAJI.MHESHIMIWA LOWASSA AMEWEKA VIPAUMBELE 12 KATIKA SIKU 100 ZA KWANZA ZA UTAWALA WAKE,NA KAMA ULISHINDWA KUVIELEWA BASI HAIKUKUPASA KUONGEA UWONGO TUULIZE,WEWE PINDA NI MUONGO MKUBWA,AIBU IKUFIKE HUKO ULIKO WEWE NA MKEO TUNU. TUNAJUA UNA DONGE NA MHESHIMIWA LOWASSA, SUBIRI SIKU YA KUAPISHWA KWAKE UJE UTAFUNE MISUMARI YA INCHI SITA IKUDATISHE HARAKA.UONGO NI SEHEMU YA UHASIDI NA WEWE PINDA NI HASIDI MKUBWA WA MABADIRIKO.HILI NI TSUNAMI SUBIRINI KUSOMBWA TAREHE 25 OCTOBA 2015.

    ReplyDelete
  2. Fala wewe ushachukuwa dozi

    ReplyDelete
  3. Nafasi mlikwanayo miaka 54
    Dubai Dubai kawaliza mtoto kuwanzia JK, Membe,Pinda
    Memmuweka Benji Mambo ya Nje bongo
    Anajuwa siri zenu
    Na sisi tunajuwa yote
    Ngombale atayanya yote
    Pungeni midomo yenu

    ReplyDelete
  4. MMESHIDWA KAZI MPEWE TENA??????? SUBUTU

    ReplyDelete
  5. TAKWIMU NDIO MAMBO YOTEE 2005 UCHUMI ULIKUWA 7% THEN, 2015 NI ETI 7.9% TU , HARAFU MNAOMBA TENA RIDHAAAA KUONGOZA IL I IWEJE????????????? HATA HAMUONI SONI HAYA, MMESHIDWA NYINYII KAAENI KIMYA ACHENI KUJIKOSHA HAPA KWANZA TUNA HASIRA HASIRA NA CCM A .K.A CHAMA CHA MATUSI MNGEJUA

    ReplyDelete
  6. CCM MMESHINDWA KAZI TULIYOWAPA BADALA YAKE MMEJILIMBIKIZIA MAPESA TUUUUUU, KAZI UMESHIDWA CCM KAENI KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  7. Pinda funga domo lako
    Una wiki mbili
    Tutakuumbua wewe

    ReplyDelete
  8. KWA MUDA HUU WA MIAKA NANE YA UWAZIRI MKUU,P.INDA UMEKUWA FISADI NA MWIZI MKUBWA,TENA JIZI CRADE 'A' SASA HIVI UNA MAJUMBA,MASHAMBA,HISA KIBAO,MAGARI YA IASHARA, DAR,MORO,DODOMA,MOSHI,MWANZA,MPANDA,SUMBAWANGA NA MBEYA.MFANO HAPA DAR UNA MAJUMBA MASHAMBA NA WAFANYAKAZI KAMA KAMPUNI YA KIGENI HAPO KIBADA[WANAKUITA KWA PINDA],CHANIKA NA MAPINGA.SIJUI KWA SASA UNAKAA WAPI NI MWIZI SASA WA KUTUPWA.TUNAJUA ULIKOJIPATIA PESA HIZI HARAMU.MISAMAHA YA KODI ULIYOISIMAMIA KWA MAKAMPUNI YA KIGENI YA KUCHIMBA GAS NA KUTAFUTA MAFUTA HAWA SASA WAMEENDELEA KUKULIPA MABILIONI NDIO WAFADHILI WAKO WAKUBWA.MHESHIMIWA ZITTO ALIWAHI KULIELEZA HILO KWA UZITO MKUBWA BUNGENI NA IKAPITISHWA RESOLUTION YA KUTOKUA NA IMANI NA WEWE.BAADHI [NA SI WOTE] YA WABUNGE WA CCM,WAKAKUOKOA].PINDA,MARA NGAPI UMEPONEA TUNDU LA SINDANO BUNGENI KWA TABIA YAKO CHAFU YA KUENDEKEZA RUSHWA? UNAHESABU AU TUKWAMBIE? MARA TANO.WEWE NI MWIZI TUU NA USUBIRIE KITAKACHOFUATIA BAADA YA CCM KUANGUKA.WEWE NA MAHAKAMA,MAHAKAMA NA WEWE.

    ReplyDelete
  9. UTANYAMAZA TU 25/10/15 AU UTAISHIA KUTUKANA,MAANA UNAANDIKA MARA NYINGI ILI TUJUE NI WENGI WAME-COMMENT,NGOJA TUKUPISHE,UWANJA WAKO.

    ReplyDelete
  10. wewe anyomous october 12 at 12.34pm umechanganyikiwa mengi sana sana yanaandikwa mengi ikiwa ni kuwajibu nyinyi viongozi wa ccm mliotuibia wananchi.sasa,unaogopa nini kukanusha,kwamba hili si kweli,hili lina kweli nusu na pia usiogope,usidanganye sema tuu " hili nakiri ni kweli "kiama kinakuja na ni vyombo vyetu vya sheria vitakavyoamua.kiama kinawasubirini viongozi wezi wote mliomo ndani ya ccm.kama wewe sio mwizi basi kaa kimya,huna haja wala sababu ya kuwa na hofu.serikali itakulinda na sisi raia wenzio tutakulinda kwa sababu ndio watoa uhahidi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad