Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.
Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ya Tanzania tuachie Watanzania

    ReplyDelete
  2. Mahakama ipi na katiba iliopo huwezi kupinga matokeo ya uchaguzi,labda Kwa Katiba ya kenya

    ReplyDelete
  3. Tanzania huwezi kwenda mahakamani...

    ReplyDelete
    Replies
    1. inategemea ni kufanya nini!!

      Delete
    2. inategemea ni kufanya nini!!

      Delete
  4. MPUMBAVU SANA WEWE RAILA OGINGA ODINGA.WEWE NI RAIA WA KENYA,HAYA YA WATANZANIA YANAKUHUSU NINI?LAKINI YAMETIMIA, TULISEMA MAPEMA,HAPA SASA FURAHA YA RAILA NI KUIMARISHA UTAWALA WA KIUCHUMI,YAANI KUJIPENYEZA ZAIDI KWA MAKAMPUNI YA KENYA KATIKA KUKAMATA BIASHARA KUBWA KUBWA NA NJIA KUU ZA UCHUMI NCHINI TANZANIA.RAILA NDIYE MMILIKI WA NAKUMART,MWANA HISA KIONGOZI WA KENYA COMMERCIAL BANK-INAYOJIPENYEZA KWA NGUVU TANZANIA,KENYA AIRWAYS INAYOTAWALA ANGA ZA TANZANIA [NDEGE ZAKE HUTUA DAR MARA 28 KWA WIKI[MUULIZENI MWAKYEMBE].HOFU KWA UJUMLA NI UWIANO MBOVU SANA WA KIBIASHARA KATI YA KENYA NA TANZANIA UNASIKITISHA.WAMETUELEMEA MNO : 85 KWA 15 NA WALIKUA WANAMTAFUTA RAIS MPYA LEGELEGE ILI WAIMARISHE ZAIDI UTAWALA WAO WA UCHUMI.YAANI TANZANIA KUENDELEA KUWA KOLONI LA UCHUMI LA KENYA.TUNAFUATILIA,TUTAFUATILIA NA TUTASEMA.RAILA AMESHATULETEA TISHIO LA AWALI,SISI HATUTALIPUUZIA.KENYA WANATUONEA SANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. swala la kibiashara haliusiani na aliyoongea! wewe unamuona mwenye nakumat!unafahamu asilimia tunazopata kutoka kwenye gesi na madini.ngoja nikupeleke darasani "kuzorota kwa soko la viwanda vya ndani kunasababisha tutegemee nje".

      Delete
  5. mpuuzi raila,unatupa somo watanzania kuhusu siasa,wewe kama nani?wewe ni mwizi tuu wa uchumi wa tanzania.lowassa aende mahakamani wapi kenya?unazijua sheria na taratibu zetu tanzania? au unaropoka tuu.akili yako inafanana na ubongo wa panzi,unafikiri tanzania ni sehemu ya kenya?unaota?au unazengewa na ukichaa.hebu kaa mbali fara wewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad