Rayuu Afunguka Kuhusu Wanaume Wanne Waliomfanyia Mbaya Kisha Kumtosa Bila Kumuoa

NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa, lakini ghafla waliingia mitini na kupeperusha ndoto yake ya kuwa mke wa mtu.

Akipiga stori na gazeti hili, muigizaji huyo alisema umri wake unamruhusu kuolewa na anafanya kila njia ikiwa ni pamoja na kutii maelekezo yote ya mwanaume ili kumvutia aingie naye katika ndoa, lakini kinachomshangaza hubadilika ghafla na kumpotezea kabisa.
“Siyo siri naumia sana, huenda nimerogwa nisiolewe, mwanaume anajitambulisha hadi kwa wazazi na kuanza mchakato wa ndoa lakini baadaye anaingia mitini,” alisema Rayuu
GPL

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe sema Dulla kakuacha kwa umalaya Dulla mwenyewe umemzidi umri bado unambemenda mtoto wa watu tupishe sie...

    ReplyDelete
  2. Ukitoa nyatu wanakukimbia inaonyesha kitandani GoGo

    ReplyDelete
  3. Njoo kwangu nikuweke ndani mtoto mzuri....

    ReplyDelete
  4. alice wewe bado sana ,kikubwa ni kusugua goti kwa mungu ,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad