Shilole Aongelea Kwapa za Nuhu Mziwanda Kutonyolewa..Awapa Makavu Laivu Wanaofatilia Maisha ya Watu
5
October 11, 2015
'Mnaosema mara oooh kwapa sijui anyoi sasa mm ndo nazipenda hizo nywele za kwapani na hazinyoi ilimradi ziwe safi na zinanukia! Mkome kufatilia maisha ya watu mara oooh kafuta tatooo mlikuwepo wakati anafuta?? Acheni umbea ndo maana mnaaumbukaga tatoo hajafuta na tupo pamoja true love never die' Shilole
Tags
lazima umnganganie si unajijua hutopata bwana bwege kama Nuhu
ReplyDeletejikombe tuu, nani atataka kupigwa vibao kama hanithi,
ReplyDeleteRUPISHE HUKO HAKUNA WA KUWAZUNGUMZIA CKU HIZI. WOTE WACHAFU
ReplyDeleteNyuki, maua, vipepeo..hahahaha. Ila Shilole mtemi wa ukweli. Nuh kwako haondoki.Wema aliogopa kipondo chako. Ndio maana akaamua kumrekodi Nuh. Ungemtandikajeeeee hahahaahah. CK,Dai,Idrisa, bwana ake Lina, Chaz baba, Petit man, Kadinda(kasimamisha) wala hakuwarekodi. Alivua chupi bila tabu. Kwa Nuh ngoma ingekuwa nzito. Chezea Shishi baby...
ReplyDeleteHapana hata kama wewe unazipenda ila kiukweli zinachefua laaa tena huo ni uchafu kwapa gani kama nywele wewe ni wawapi Shishi? Dhaaa Nuhu samahani kwa hizo kwapa zako.
ReplyDelete