Shilole Aongelea Kwapa za Nuhu Mziwanda Kutonyolewa..Awapa Makavu Laivu Wanaofatilia Maisha ya Watu

'Mnaosema mara oooh kwapa sijui anyoi sasa mm ndo nazipenda hizo nywele za kwapani na hazinyoi ilimradi ziwe safi na zinanukia! Mkome kufatilia maisha ya watu mara oooh kafuta tatooo mlikuwepo wakati anafuta?? Acheni umbea ndo maana mnaaumbukaga tatoo hajafuta na tupo pamoja true love never die' Shilole

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lazima umnganganie si unajijua hutopata bwana bwege kama Nuhu

    ReplyDelete
  2. jikombe tuu, nani atataka kupigwa vibao kama hanithi,

    ReplyDelete
  3. RUPISHE HUKO HAKUNA WA KUWAZUNGUMZIA CKU HIZI. WOTE WACHAFU

    ReplyDelete
  4. Nyuki, maua, vipepeo..hahahaha. Ila Shilole mtemi wa ukweli. Nuh kwako haondoki.Wema aliogopa kipondo chako. Ndio maana akaamua kumrekodi Nuh. Ungemtandikajeeeee hahahaahah. CK,Dai,Idrisa, bwana ake Lina, Chaz baba, Petit man, Kadinda(kasimamisha) wala hakuwarekodi. Alivua chupi bila tabu. Kwa Nuh ngoma ingekuwa nzito. Chezea Shishi baby...

    ReplyDelete
  5. Hapana hata kama wewe unazipenda ila kiukweli zinachefua laaa tena huo ni uchafu kwapa gani kama nywele wewe ni wawapi Shishi? Dhaaa Nuhu samahani kwa hizo kwapa zako.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad