Shindano la Serengeti Masta Lafana Katika Baa ya Meridian Kinondoni

Mtumiaji wa bia ya Serengeti Salum Ally (kulia) akishiriki katika shindano la kutambua ladha ya bia ya Serengeti linalojulikana kama “Serengeti Masta” lililofanyika katika baa ya Meridian iliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam.
Balozi wa bia ya Serengeti (kulia) akikabidhi kitita cha Tsh. 50,000/= kwa Bw. Salum Ally (kushoto) aliyeibuka Serengeti Masta katika baa ya Meridian iliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti kwenye shindano la kumtafuta Serengeti Masta liliofanyika katika baa hiyo.
Mmoja wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa baa ya Meridan iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mteja wa bia ya Serengeti Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akishiriki katika shindano la kutambua ladha ya bia ya Serengeti linalojulikana kama “Serengeti Masta” lililofanyika katika baa ya Meridian iliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam. Shindano hilo ambalo linaendelea hivi sasa jijini Dar es salaam na mikoani linalenga kumpata mshindi mmoja kwa kila baa inayotembelewa anayeweza kuitambu ladha halisi ya bia ya Serengeti.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad