Shutuma za Magufuli Kutumia Bendera ya Taifa na Wimbo wa Taifa Katika Matangazo ya Redio na TV

Jana usiku nilikuwa naangalia habari kwenye kituo kimoja cha runinga. Likatoka tangazo likimuonyesha Dr. Magufuli akijieleza kwa unyenyekevu kwa watazamaji akiomba kura, nyuma kulikuwa na background ya bendera ya Taifa na pia hata vituo kadhaa vya radio nimesikia mara kadhaa wakitoa tangazo la huyo huyo Magufuli na wimbo wa Taifa ukipigwa.

Maoni yangu:

Kwa kuwa uchaguzi bado basi vyama vya siasa vizuiwe kutumia wimbo na bendera ya Taifa kwenye kampeni zao. Badala yake watumie nembo na bendera zao na ikibidi nyimbo za vyama vyao vinginevyo naona hii haiko vizuri.

By Sajenti/Jamii Forums

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atumie hata wimbo WA akhera afanye afanyo aiige kika kitu toka kwa Lowassa
    Bado Lowassa wetu
    Babu Lubuva kisha ona
    CCM mlie tu

    ReplyDelete
  2. Atumie wimbo wa taifa ni Kila mtanzania
    Ila wimbo nembo ya rais Kwani hawezi kuipata duniani hadi Akhera
    Pole wakukaya
    Wamekutosa na kukufanya kafara
    CCM wabaya

    ReplyDelete
  3. Magufuli bin pombe mwana mafunguo
    Chonde Chonde mwambie mzee wa uso Kama fuso
    Akienda kwenye kampeni zako anadi sera zako
    Akitukana atatujuwa sisi nani
    Hatupo bongo
    Tutakwenda CNN . BBC , Na kiboko Yao alijezihal
    Tuna data zake zote zote jizi kubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna lolote kibaka tu, ungekuwa na data ungetoa tahadhari kwanza, tunavyo wajua mlivyo na 'mihemko' ya viloba na ganja, nenda mpaka ICC....... HAPA KAZI TU!

      Delete
    2. Senge wewe ngoja basi tuseme
      Rais mzima kuiba bibi WA waziri wake
      Na kumbambikia kesi

      Delete
    3. Ndio maana Babu Seya yuko jela bila kosa, chnzo Kikwete anajua

      Delete
  4. nafikiri inawezekana nyinyi baadhi yenu tunaokerekwa pamoja mkawa mnaona jambo hili ni geni na jipya,hapana si jipya ni moja ya maelfu ya faulo za ccm zilizoanza tangu siku yao ya kwanza ya kampeni tarehe 23 august 2015..kwa kuongozwa na kamati ya ccm ya kampeni katibu akiwa january makamba ccm kwa makusudi imekiuka maadili ya kampeni za uchaguzi mkuu zaidi ya mara alfu kumi;10,000].hakuna wa kuwaonya kwa kuwa wao ndio chama dola na kwamba taasisi zote za ki-dola zipo chini ya serikali ya ccm. mfano ccm wanabandika mabango popote pale wanapotaka [mameya wa manispaa hizi ni wagombea wa ccm] vikiwemo katikati ya barabara zetu wanatumia kiila redio iliyopo nchini,kiila televisheni kwa sababu kwanza taasisi husika zinawaogopa kuwakatalia,lakini pia sasa hivi ccm wana mabilioni ya pesa zisizo na mwenyewe[ pesa haramu:za kutakatisha :laundeering] zinazotumika wakijidanganya kuwa watanusurika kuangguka. magufuli, acha kulindwa na dola,kupigiwa wimbo wa taifa ccm pia tayari imekwisha tangaza maandalizi ya baraza la mawaziri.hizi zote ni hila,njama,fitina,uhuni,na bila kujijua wanajichimbia kabuli banzastone marehemu aliwahi kuimba "mchimba kabuli kaingia mwenyewe".uongo mbaya ,ccm sasa hivi kwisha,kwisha kabisa,ndembendembe, kifo cha mende miguu juu.afe kipa,afe beki mheshimiwa edward lowassa ndiye rais wa tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania,ewe mwenyezi mungu mzidishie busara,ujasiri na afya njema eeemin.

    ReplyDelete
  5. Hata atumie chapa ngombe
    Wetu Lowassa Lowassa

    ReplyDelete
  6. Mpeni bendera zote duniani
    Hatujalishi sisi
    Mambo Lowassa tunahesabu siku hapa
    Tutoke Na magwanda
    Tumechoka Na kijani Na njano Kila kona
    Wagawe sana
    Ni Lowassa tu

    ReplyDelete
  7. Hii sheria ya mitandao itawafunga wengi kwa kukosa elimu nayo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WA kwanza wewe

      Delete
    2. CCM milianza kutukana tangu siku ya ufunguzi wa kampeni zenu Jangwani
      Na sisi matusi tunajuwa sana . Hoja na sera ndo zetu
      Ni Lowassa ni Lowassa Hakuna kulala. Tulalinda kura zetu wapi na sehemu hatutaji ngo. Safari tutaotoa life

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad