Edward Lowassa |
Ilikuwa ukipita mitaani utagundua watu wakiwa katika matumaini mapya yenye furaha kuwa hakika yule watakayemchagua ndiye atapita lakini ikawa ndivyo sivyo...
Nilipopita mitaani hasa hapa dar es salaam nilipata nafasi ya kusikia maoni ya watu wengi sana..lakini moja ya maoni ya vijana wengi na wazee wengi pale ubungo kituo cha mabasi yaendayo mikoani ndiyo yaliyonikosha zaidi...
Ni pale niliposikia watu wakidadavua ile ahadi ya lowassa ya speed 120 jinsi ambavyo angetekeleza chini ya baraza hili la mawaziri..kijana mmoja niliyemfahamu kwa jina la yassin alijaribu kuunda baraza la mawaziri chini ya mh. raisi lowassa nalo lilikuwa hivi:::
WAZIRI MKUU----Mh F.A.Mbowe
Waziri wa katiba na sheria---Mh. Tundu lissu.
Waziri wa Maliasili na utalii---Mh. Rev Peter msigwa
Waziri wa wanawake jinsia na watoto---Mh. Halima mdee
Waziri wa ulinzi na usalama---Mh. G.Lema
Waziri wa mambo ya ndani----Mh. J J Mnyika
Waziri wa michezo na sanaa---Mh. Sugu
Waziri wa Waziri wa fedha---mbatia
Waziri wa ardhi----salumu mwalimu
aliendelea kushuka kushuka na akamaliza kwa kusema watanzania mnafikiri chini ya mawaziri hawa kwanini kusiwe na SPEED 120?
SASA: Leo nimepita tena mahali pale Ohooo...ndugu yangu watu kama wamemwagiwa maji....watu wamehuzunika saana watu hawana Amani wamepoteza matumaini hawana hili wala lile....ni sawa na mfungwa aliyewekwa gerezani kwa miaka zaidi ya hamsini baadaya sikuchache akitarajia kufunguliwa halafu siku hiyo anaambiwa ameongezewa miaka mitano tena....ohoooo....piga picha jinsi anatakavyoumia...basi ndivyo hali inavyoendelea huku mitaani....
Unazungumzia mtaa gani?? Mbona huku Dodoma tumefurahi mno kwa hilo Fisadi kubwagwa. Usiseme watu wamehuzunika, sema baadhi ya watu wamehuzunika......sisi wengine tunaraha na furaha ilopitiliza
ReplyDeleteBwege wa kigogo. Kazoea kukaa barabarani bila haya. Ndo maana hakuna maendeleo. Mnachagua kubaki ombaomba sababu hamjithamini wenyewe. Siwahurumii sababu mmechaguwa kuwa vipofu mpaka kufa. Maisha unayoyaishi ni uchaguzi wako binafsi.
DeleteEndelea ombomba.
Huyo Lowasa angekuwa na jipya lipi? Alikaa ndani ya CCM miaka tele, alikuwa waziri mkuu yeye na huyo kibaka mwenzie Sumaye walifanya nini kubwa mno tena lakupigiwa mfano, ukimlinganisha na Magufuli? Atafute njia nyingine ya kuwalipa hao wanaomdai, sio kupitia urais......HATUDANGANYIKI
ReplyDeleteSasa huu ufisadi wa kura, si CCM hii. Na Zanzibari si CCM hii.
DeleteHujakomaa kiakili. Upo radhi kuwa mtumwa.
Sababu hujui kufikiri, hata ukipigwa kisu hutaelewa. Ni wajinga na wapumbavu kama nyinyi mmejaa Tanzania na mnazidi kuwa wajinga. Hamjhui sheria, Mnapwayuka maneno yasiyo msingi, wala haki zako binafsi kama binadamu huzijui. Ni nyinyi ndio mzigo na pingamizi kuu la maendeleo na uhuru wa mtu binafsi kwa Mtanzania. Mjinga ni mjinga. Hata akienda darasani atabaki mjinga.
UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA ULIOFANYIKA MNAMO JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 UMEPITA SALAMA,NA SISI WATANZANIA TULIO WENGI TULIMCHAGUA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA KWA JUMLA YA KURA MILLION 10,268,795 SAWASAWA NA ASILIMIA 62 YA WAPIGA KURA WOTE[HII NI PAMOJA NA NYINYI CCM,WEZI WAKUBWA KUIBA SANA]HILI SISI LIPO MIOYONI MWETU RAIS HALALI WA WANANCHI WA TANZANIA NI MHE.EDWARD LOWASSA,ULE WEMBE,ULE KLOLOKWIN.TUTAMUENZI NA KUMTAMBUA MHE.LOWASSA KAMA RAIS WETU KWA SIKU 1825 YAANI MIAKA MITANO.TUTAMUENZI,TUTASHIRIKIANA NAYE KATIKA KUIJENGA KWA NGUVU ZOTE CHADEMA-UKAWA,ATAPOKELEWA KIFALME KATIKA MIKOA YOTE,WILAYA ZOTE,KATA ZOTE NA VITONGOJI VYOTE KUKIJENGA CHAMA,UMOJA, NA KUAMSHA ARI UPYA KWA WATANZANIA TULIOJAWA NA HASIRA KWA KUIBIWA USHINDI WETU WA WAZI NA NYINYI MAJAMBAZI SUGU WA SIASA CCM.NYINYI NI WEZI TUU,WATANZANIA WAMEWACHOKA ILE MBAYA.
ReplyDeleteHana jipya watu tunafuraha tele wala usijidanganye
ReplyDeleteMnafurahia wizi! Watanzania sijui mmelogwa na nani jamani, mbona hamtaki hata kufikiria maisha magumu mliyo nayo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini maendeleo yake ni makubwa mno. Hamtaki kujishughulisha kuwaza ni nini viongozi hawa wamefanya na muwalinganishe na ccm yenu. Uwii naililia Tanzania yangu
DeleteHUYO LOWASA NA MWENZIO SUMAYE WOTE NI MAFASIDI HAWANA LOLOTE
ReplyDeleteULIKUWA WAZIRI MKUU ULIFANAYA NN KWA WATANZANIA ILA ULICHO KIFANYA NI KUIBA TU
ReplyDeleteUSITUDANGANYE UNGESHINDA KUWA RAISI UNGEIBA PESA ZOTE WW NI FISADI NUMBER
MOJA TANZANIA.
Naona wapumbavu humu kwenye mitandao ni wengi sana hivi kama CCM imeshindwa kuyaleta maendeleo kwa kipindi cha miaka 54 ilichokaa madarakani ndiyo itaweza kuyaleya hayo maendeleo leo, tunashuhudia huduma mbovu za kijamii ikiwemo afya, elimu,maji pamoja na wananchi kukosa makazi bora ya kuishi, kuna sehemu nyingi watu wanaishi kwenye nyuma za miti na udongo katika zama hizi za sayansi na tekinolojia, rasilimali tulizonazo zinaporwa na wageni kutoka nje huku watanzania tukibaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu.
ReplyDeleteHana jipya atalofanya zaidi ya kuwalinda hao mafisadi wa escrow waliobakia ccm,na awafunge kweli kama yy ni mfuatiliaji
ReplyDeleteNijuacho mie, yaliyopita yamepita. Sasa tumeingia enzi za "Hapa kazi tu". Kaeni mkao wa kuchapa kazi, maendeleo yapo mlangoni!!
ReplyDelete