TCRA Mbona Mnawachekelea Star TV? Sheria ni Kwa Kina Nani?

TCRA Mlitoa msimamo wenu kwamba hamtaruhusu chombo chochote cha habari kufanya interview na MTU yeyote asiyekua mwanachama wa chama flani kukisema chama kiingine? Uhalali wa Dr Slaa kukaa star TV kumtukana LOWASSA ni haki?

Dr Slaa anawakilisha chama gani star TV? Anazungumziaje Chama kisichomhusu? Kwani star TV nao wasimwite LOWASSA wawakutanishe wote wawili?

Huu ni uchochezi na lolote likitokea star TV hawawezi kusalimika! Uchochezi wao unezidi kiwango! LOWASSA anao wafuasi wengi nchi nzima, hivi wakiamua kuchukia kwa kile kinachofanywa na Dr Slaa itakuaje? Star TV Wanachochea uvunjifu wa Amani.

By Mahanju /Jamii Forums
Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM hao
    Hatuipendi Kama Hitler

    ReplyDelete
  2. hiki chombo hakina ustaraabu kama alivyo huyo waliyemterview na nakichukia sana STAR TV

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaichukia Star TV, lakini kutwa unaiangalia, mbona TV stations zipo nyingi BOB, hujalazimishwa 'ku-tune' Star TV......, kama veepee HAMIA AIRTEL

      Delete
    2. Usiangalie TV usioipenda, utajajiua bure......'kula kitu roho inapenda'

      Delete
    3. Mijamaa mingine mijinga Sana, mtu mzima anajibu hoja kwa kusema eti usiangalie TV chanel husika. Kiufup watu bado Sana kuniambia.

      Delete
  3. Star tv wajiangalie Na nguvu ya umma

    ReplyDelete
  4. STAR TV MALI YA ANTHONY DIALLO MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA.SASA HIVI INATUMIKA KAMA MALI YA CCM KUMTUKANA NA KUMDHIHAKI LOWASSA.HILO TUNALITAMBUA LINAZIDI KUWATIA HASIRA WANANCHI WA TANZANIA NA WANAONA KAMA HIZI SIKU 17 ZILIZOBAKIA KUFIKIA SIKU YA UCHAGUZI MKUU JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 KAMA BADO MWAKA.BAADA YA KUMCHAGUA MHESHIMIWA LOWASSA KUIONGOZA TANZANIA,STAR TV NA VIONGOZI WA SASA WA TCRA WAJIANDAE KUSHITAKIWA KWA WANANCHI.DOLA MPYA MTULETEE WATU HAWA SISI NDIO TUTAKAOWAHUKUMU,MAANA TUNA SHAKA NYINYI MTAWAONEA HURUMA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWA AHADI ZA VISASI NAMNA HII NANI ACHAGUE UKAWA?HAPA KAZI TUUU.
      EE MUNGU TUSAIDE WATZ TUMPATE MAGUFULI AWE RAISI WETU.

      Delete
    2. UNAPOTEZA NGUVU ZAKO KWA AHADI ZA ALINACHA.CCM NI USHINDI KWA KISHINDO,KUANZIA OKT 25 TUNAANDIKA HISTORIA NYINGINE NDANI YA CCM ,
      CCM INAFINYANGWA UPYA CHINI YA MAGUFULI.UKAWA MTAPOTEANAJE!

      Delete
    3. ACHA NIFE TU KWA HASIRA ZENU MTAKAPOONA MMESHINDWA UCHAGUZI,
      UKAWA NOOOOOOOOOOOOOOOOOO

      Delete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. Ukisikia Malaya zeeka mdogo huyu..

    ReplyDelete
  7. Mbona ITV hamuisemi muiacha star tv ifanye programm zake na aliokwambia lowasa atamchagua nani ss wananch tunachagua mtu muadilifu na mchapakaz magufuli hapa kaz tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani Slaa Dr. nae ana haki kama mtanzania mwingine kutoa mawazo yake. Mbona kuna magazeti kibao yanaandika uzushi kwa kuiponda CCM na hatusemi, au mnafikiri hatuoni, ila tumepuuza tu maana trh 25 haiko mbali hayo yote yatakwisha na UKAWA wajiandae kisaikolojia mapema. Kuanzia Octoba ni KAZI TU.

      Delete
  8. UMEKURUPUKA USINGIZINI?

    ReplyDelete
  9. KAZI ACHIA PUNDA

    ReplyDelete
  10. ASANTE UNANIULIZA ALIYENIAMBIA LOWASSA TUTAMCHAGUA NI NANI? MBONA WEWE CHAGUO LAKO NI MAGUFULI.HAINA NENO MTANZANIA MWENZANGU TUOMBE UHAI TUU TUIONE HIYO TAREHE 25 OCTOBA 2015 ITAKUA NI JUMAPILI,WEWE NA MIMI KILA MMOJA WETU AKIWA NA KITAMBUISHO CHA KUPIGIA KURA TUTASIMAMA MSITARI MMOJA FOLENI ITATEMBEA,UKITANGULIA WEWE SAWA UTAINGIA NDANI UTAPEWA KARATASI TATU YA RAIS,YA MBUNGE NA YA DIWANI UTAPEWA NA KALAMU [KAMA HUNA] UJICHAGULIE ULICHOKICHAGUA.ITAKUJA ZAMU YANGU KUINGIA NITAPEWA KARATASI TATU,NITAULIZWA KAMA KALAMU NINAYO,NITAJIBU NDIYO NINAYO NITAONYESHWA MASANDUKU MATATU YA KUTUMBUKIZA KURA MOJA SANDUKU MOJA.UTAMU,RAHA HIYO RAIS NITAWEKA TICK[ALAMA YA VEMA] EDWARD NGOYAI LOWASSA-NYWELE NYEUPE,MOYO MWEUPE,IKULU KWEUPEEE,MBUNGE UKAWA NA DIWANI UKAWA,NITATMBUKIZA KISHA NITAONDOKA MOYO WANGU KWAATU.NITASOGEA MITA MIA TANO NITAPIGA KAMBI NA WENZANGU KWA MAELFU,KWA MALAKI KUHAKIKISHA USALAMA WA KURA ZETU HUKU TUKISUBIRIA SHEREHE BAADA YA KUHESABIWA KURA ZA KITUO NA MATOKEO KUTANGAZWA.NAKUOMBA HAPO KWAKO UWEKE MISUMARI MBALI[OUT OF REACH] USIJE UKAITAFUNA! kwaheri.

    ReplyDelete
  11. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu siyo???? ITV wanavyowapendelea ukawa hamuoni au ni sawa tu kwa vile hujitambui?? ITV wanaporusha mkutano wa CCM wanatumia sio zaidi ya sekunde kadhaa, lakini mkutano wa ukawa wanawarusha hadi wale 'wasema hovyo' wao....... mnaona poa, hamsemi kwa vile mwenye ITV nayeye ni 'kanda ya kaskazini'.......FUNGENI MIDOMO YENU, TUSUBIRI MAAMUZI 25/10/2015

    ReplyDelete
  12. Dr anzisha tv ya mashoga utatupata wengi shoga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad