Team Lowassa Watoa Ujumbe Kuhusu Kifo cha Mchungaji Mtikila
5
October 04, 2015
Tunatoa pole kwa Familia , Chama cha DP na Watanzania kwa ujumla kwa Kumpoteza Mchungaji Christopher Mtikila, Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa...Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi...
Tags
Wewe unae jiita Godfrey kitwika,, Huna akili , maiti hasemwi vibaya hata siku moja kama alimsema Lowasa wewe inakuhusu nini kujifanya unamjua sana Lowasa na siasa ya Tanzania kwa umri huo wa miaka 20 uliyonayo, kumbuka hata wewe na mimi zamu zetu zinakuja hatujui siku wala saa, R.I.P Mchungaji Mtikila.
ReplyDeleteTUMUOMBEEE NA TUSAMEHE KWA YOTE ALIYO TUKWAZA HASA KATIKA KIPINDI HIKI MUHIMU CHA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.LAKINI NDUGU ZANGU YUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA KUMDHALILISHA NA KUSHANGILIA TATIZO LA MWENZAKO TU KOME MARA MOJA MUNGU ANAONA NA ANAKULIPA HAPA HAPA DUNIANI, SASA HIZI NI SALAMU TUUUUUUUUUUUUU SINA HAJA YA KUWATAJA MAAANA TUNAWAFAHAMU NA WENYEWE PIA WANAJIJUA MPK NAFISINI MWAO NAWASHAURI MAPEMA WAOMBE RADHA, MSAMAHA KWA KAULI ZAO ZA UDHALILISHAJI NA UNYANYASAJI KWA VIUMBE WA MUNGU TENE HADHALANI AU KWENYE MIKUTANO HIYO HIYO, KABLA MADHARA HAYAJAWAFIKA KWA MAANA MUNGU ANASAMEHE KWA WALE WAMUOMBAO'
ReplyDeleteTeam Lowasa, hiyo pole mloitoa inatoka rohoni kweli??
ReplyDeleteToka moyoni au una lingine wewe
DeleteSisi hatukupendi kisasi
Mungu ndo msemaji kweli
R.I.P mchungaji,mbele yako nyuma yetu
ReplyDelete