Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini Wapinga Uchaguzi Mkuu Kufutwa Zanzibar

Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.

Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.

Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.
----------------------------
PRESS STATEMENT
Thursday 29 October, 2015
United Kingdom statement on Zanzibar elections

The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections.We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.

The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUU NI MWANZO TUU WA VIONGOZI NA MATAIFA YA DUNIA NZIMA KUPINGA DHULUMA HII YA CCM VISIWANI ZANZIBAR,NA,ANGALIA KITAKACHOFUATIA NI VIKWAZO VYA KIUCHUMI, KUZUIWA MISAADA,KIDIPLOMASIA,BIASHARA,UTALII NA USHIRIKIANO MWINGINE. SASA SIO ZANZIBAR TENA BALI SERIKALI YA TANZANIA KWA SABABU KIUKWELI SI JECHA ALIYEYAFUTA MATOKEO HAYO YEYE ALITUMWA KUYASOMA TUU.ALIYEYAFUTA NI AMIRI JESHI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MSIFICHE UKWELI,SHIDA ITATUANGUKIA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI HUYU NI WA BARA AU HUYU NI WA VISIWANI.TUSHIKAMANE YAMETUKUTA.

    ReplyDelete
  2. kweli yametukuta,sijui itakuwaje,nahisi uchumi wetu unaweza kuyumba na hali ya maisha kuendelea kuwa ngumu zaidi,ya kukatisha tamaa.

    ReplyDelete
  3. Wasituingilie mambo yetu

    ReplyDelete
  4. dah kweli hii ndio Africa...mtu anaporwa haki zke kweupeeeeeee kwa maslahi ya wachache

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad