VIDEO: Baadhi ya Wajumbe wa ZEC Wapinga Maamuzi ya Mwenyekiti wao Kubatilisha Uchaguzi wa Zanzibar

Muda mchache baada ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jecha Salum. kutangaza jaribio lake la kufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar 2015, makamishna wawili wa tume hiyo Ayoub bakari na Nassor khamis wameuita uamuzi huo kua sio wa ZEC, bali wa Jecha binafsi na wamejitenga mbali nao

Chanzo: DW kiswahili
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad