Vyama Vya Siasa Vimetia Saini Kukubali Matokeo Yaliyotangazwa..Chadema na Chaumma Wamegoma

Vyama vyote vilivyosimamisha wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeridhia usahihi wa matokeo ya Urais isipokuwa CHAUMMA na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Hivi sasa wawakilishi wa vyama hivyo vilivyoridhia wanasaini fomu maalumu kuridhia matokeo hayo.

CHADEMA hakikuwakilishwa katika kikao cha kuridhia matokeo wakati mwakilishi wa CHAUMMA aliyekuwepo kikaoni amekataa kutia saini.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MUNGU AKISEMA NDIO NI NANI WA KUPINGA?ASANTE MUNGU,ASANTE MUNGU,ASANTE MUNGU,TUNAOMBA UENDELEE KUIBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. Eti chadema na chauma!! Ndio nani???
    CCM JUUUUUUUUUUUUUUUUUU
    TINGA TINGA WOYEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
    Replies
    1. oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mungu mpe afya njema Mr. Tinga tinga na atimize yale aliyoahidi

      Delete
  3. Hapo sasa fanya kazi mzee Pombeeeeeeeeeeee na uoneshe hao wanao jiita mabadiliko kwamba wewe ndioooo mabadiliko ya kweli hongera.

    ReplyDelete
  4. Mwagia tindikali wote hawa

    ReplyDelete
  5. Lubuva utapata laana ya Watanzania

    ReplyDelete
  6. Kelele zimekwisha sasa kazi tuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad