Labda tudadavue namna napata shida sana kupata majawabu ya ahadi hizi.
Amesema sijui mambo makubwa 11 ambayo ndani ya siku 100 yatakuwa historia. Jamani labda tujaribu kuwa tunamkumbusha ahadi hizi anaweka kumbukumbu kichwani au anatoa tu mdomoni?
Sijaona hata Marekani hawajawahi kutoa ahadi kama hizi. Kwanza bajeti ya serikali ya mwaka huu imeshapitishwa.
Pili vyanzo vya hela vyote vimeshatengewa matumizi maalum. Mapato ya kodi yote.
Tatu elimu bure anayosema kuanzia january itaanzaje? Kwa sababu shule hazina walimu wa kutosha kwanza, shule hazina madarasa ya kutosha, shule zinahitaji materials na mambo meengi ya maandalizi. Sasa elimu toka Nursery mpaka university kutoka bajeti ipi?
Walau huyu anayesema mpaka Secondary level nadhani anajitambua sana na ni mkweli.
Wachumi Tuambieni, Ahadi za Lowassa Ndani ya Siku 100 Zinatekelezekaje?
14
October 06, 2015
Tags
Atatuletea tu utajiri mpaka majumbani kwetu acha tusubiri mabadiliko
ReplyDeleteWe kweli mtoa hoja umeshajichokea kwani bajeti ikiwa imeshapitishwa haiwezi kutenguliwa? Ikiwa madaraka ni mapya pia ukosefu Wa walimu mashuleni niujinga Wa ccm kutokujali elimu yetu ya Tanzania walimu wapo wengi majumbani hawana ajira serekali yako ya ccm imeshindwa kuwaajiri itawalipa nini ikiwa wanabadhilifu pesa za taiga uku mkimsakama lowassa mwizi wakati serekali tako inauza had I twiga
ReplyDeleteMmmh! NIMESHTUKA!
ReplyDeleteAma kweli hapo pana shida, hii ni kutokana na kufikiria kuwa kila mtu ni mbumbumbu, ila nahisi alifanya research ndyo akapata jibu la kuwa yote yanawezekana
ReplyDeleteMwenye baiskeli,atapata pikipiki,mwenye pikipiki atanunua gari,nyumba zote za nyasi na udongo zitatoweka,umaskini TZ no,LUWASA anachukia sana umaskini na hana urafikini na maskini yeye rafiki zake ni matajiri,kusoma bure,ndani ya siku 100?kweli?Hahahahahahahhahaha WAJEMENI,hata kama unataka kura ndio utudanganye hivi?kwa kutuonaje?Hata kama nakula mlo mmoja bado sishawishiki.NA MIMI NIMESHTUKA.
ReplyDeleteLengo ni kuingia Ikulu akishaingia watanzania tutapiga kelele kuhusu ahadi zake alizoahidi ambazo hazitekelezeki.Rais ni taasisi inayojitegemea,tutamfanya nini akishaingia madarakani?Ni wakati wa kupembua pumba na mchele.Akili kumkichwa oktoba 25.
ReplyDeleteTUMELIWA?
ReplyDeleteAKILI KICHWANI
ReplyDeleteMAGUFURI NA SAMIA WAMEAHIDI KILA KIJIJI 50ML,VIWANDA VYA KISASA KILA MAHALI WALIPO KWENDA KWA HILI UNASEMAJE??????????????? AU MKUKI KWA NGURUWE ????????????????????????????????KUMBUKA HIKI KIPINDI CHA KAMPENI KN MGOMBEA FULANI YEYE ALIAHIDI MELI KUUUUBWA ZIWA VICTORIA MPK LEO ANAONDOKA ANONA AIBU. HASEMI TENA.
ReplyDeleteMbeeeeeeeeeeeee,tushamjua Rais wetu JOHN POMBE MAKUFULI/MAFUNGIO,na hiyo wizara ya ujenzi amwachie Lukuvi,maana mmmh naye yumoooooooooo.Na yeye ni--------------
ReplyDeleteHAPA KAZI TU.
HIVI NA DJ MBOWE ANAAMINI SIKU 100 ZINAWEZA KUBADILISHA MAMBO?
ReplyDeleteWAJINGA NDIO WALIWAO.NIMESHTUKA.
MBOMBO NGAFU MWEMWEE!TUFWILE,TUMALIKE,hivi anafikiri sisi wote wajinga?
ReplyDelete(In Wakuvanga's voice)
AHADI ZA KUUFUMUA UTENDAJI MZIMA WA SERIKALI KWA SIKU 100 TOKA KUINGIA MADARAKANI ANAZOTOA MHESHIMIWA LOWASSA NI AHADI ZA KWELI REALISTIC,NA KWA KWELI KIPIMO HIKI CHA MIEZI MITATU NA SIKU KUMI KINAWEZA KIKAWA KIMEKAMILIKA NDANI YA SIKU HAMSINI TUU.KWANI NI NINI,SUALA ZIMA LINAHUSU UPATIKANAJI WA PESA ZA SERIKALI KWA AJILI YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YA KUINUA MAISHA YA WATANZANIA WOTE, HUSUSANI HAYA 12 ALIYOYATAJA MHESHIMIWA LOWASSA .NIWAPE MFANO:NDANI YA BAJETI HII YA SERIKALI YA MWAKA HUU WA FEDHA 2015/2016 SERIKALI ILIPANGA KUTUMIA TRILLION 28.UKIIKAGUA BAJETI HII KWA UNDANI UTAYAGUNDUA MATUMIZI YASIYOSTAHIKI-YA WIZI NA UFUJAJI YA TRILLION TISA! KINACHOFANYIKA HAPA TUTAKOKOTOA HII TRILLION TISA ILIYOKWISHA PITISHWA NA BUNGE LA BAJETI.HIZI TRILLION TISA NDIYO MTAJI WA MWANZO WA KUGHARIMIA MABADIRIKO YOTE AMBAYO MHESHIMIWA LOWASSA ANATUPATIA TAARIFA.UTEKELEZAJI HUU NI WA KISAYANSI ZAIDI MSIOELEWA KITU AU MA-CCM HILI LINAWATUPA MKONO NA NDIO MAANA MNASHANGAA NA KUKATAA KWAMBA SIKU 100 HAIWEZEKANI.KAENI KIMYA UKAWA KAZINI
ReplyDeletenimefarijika sana na maelezo marefu na ya kina ya mchangiaji anonyimous 11.58,6th octoba 2015.maelezo haya matamu, ya kisayansi ya ukweli yanadhihirisha tena kwamba ccm ya sasa imejaa binadamu-hasara kibao, tele, wataalamu wa uongo,fitina,unafiki,majungu,mahasidi,mafilauni,mabazazi,wavivu wa kutupwa,wajinga grade 'a'.ati siku 100 hazitoshi,nyinyi mnajua coverage ya siku moja tuu ya mheshimiwa lowassa akiwa ofisini ikulu itakuaje,narudia SIKU MOJA TUU YA MHESHIMIWA LOWASSA AKIWA IKULU.fungeni mdomo ccm,tena ombeni shuka mkalale,BLOODY FOOL.
ReplyDelete