Wananchi Tarime Wawasha Mishumaa na Kukesha Kulinda Bango la Edward Lowassa

Pichani ni wananchi wakiwa wamewasha mishumaa jana majira ya saambili usiku katika eneo la jembe la Nyundo Tarime mjini wakilinda mabango ya mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Edward Ngoyai Lowassa ambaye Alikuwa Katika Wilaya hiyo leo.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WANA IMANI NA UELEWA MKUBWA,WANANCHI WA TARIME KWAMBA MPENDWA WETU MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA NDIYE RAIS WETU WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.IMANI WANAYOIONYESHA WANANCHI HAO NI IMANI THABITI NA YA MFANO WA KUIGWA TANZANIA NZIMA NDIYO MAANA SISI WENZAO WA DAR-ES-SALAAM TUMEPANGA KUKESHA JUMAMOSI TAREHE 24 NA TUNAPOAMKIA TAREHE 25 KUANZIA SAA 9 ALFAJIRI KUELEKEA VITUONI.ISHARA KUU SIKU HIZO MBILI YAANI JUMAMOSI NA JUMAPILI KIDOLE KIMOJA MKONO WOWOTE UNAPIGA KWA KURUDIA SEHEMU YA MKONO MWINGINE KATI YA KIGANJA NA KIWIKO HUKU UKIIMBA AIDHA KWA KUENDELEA KUIMBA AU MARA MOJA TUU "TIME FOR CHANGE =TAIMU FO CHENJI = SIKU ILE YA UCHAGUZI GONGA MKONO KIMYA-KIMYA KAMA SALAMU KWA WENZIO NA WAO WATAKUJIBU HIVYO HIVYO .YAANI KWA JINA LA MUNGU MWAKA HUU TUNAWAPIGA CCM VIBAYA KWA KUWA CCM NI MBWA WEZI.

    ReplyDelete
  2. Nyie angaikeni kukesha na kupiga deki mabalabala lakini ukawa hawaingii ikulu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani ikulu ya Tanzania ni ya kifalme
      Mwambieni jk Na mkwewe
      Wakufanyie Kila chao
      Ikulu ni ya Lowassa nasi ma pombe hatuuzi pombe ikulu
      Wala chagulaga
      Chato kiji wilaya kilimshinda ataweza Tanzania
      Siasa it's not mathematic
      1+1=2
      But
      100-98= 2 as well
      That's is siasa
      But mafunguo Na ma pombe ge is only 1+1=2

      Delete
  3. TUMEZINGATIA KAMANDA: TIME FOR CHANGE,TIME FOR CHANGE,TIME FOR CHANGE.CCM NYANG'ANYANG'A.MBENDEMBENDE,KIFO CHA MENDE,CHAAALI.SHWAIN.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad