Wasanii Wasema ' Huu ni Mwaka wa Mabadiliko ya Ukweli na John Magufuli'





Wasanii mbali mbali kutoka Bongo Movie na Bongo Flava wameonesha Umoja katika kulinda na kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo ya kweli. Katika Safari zao wamesema kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kutokea bila kuwa na kiongozi Muadilifu, mchapa kazi, mkemea rushwa na ufisadi. Lazima kama taifa wananchi wote wajitume, wafanye kazi ili taifa letu liendelee. Kuhusu tatizo la mitaji Dkt. Magufuli ameahidi kutoa Million 50 Kila kijiji kuhakikisha watanazania wote wanashiriki katika kujenga taifa na kuondokana na umaskini. Wamewaomba sana watanzania kufanya maamuzi kwa maslahi ya taifa letu... Wampigie Kura Dkt. Mafugufi...

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawana Lao Jambo hao
    Njaa tu
    Kwani si serikali ya CCM ndo haithamini Kazi zao, na kuruhusu kopi feki za Sanaa zao
    Kweli mipumbavu iko Mingi
    Wenzenu weshapata mshiko kina Kawawa nanyi
    Baada ya 25 mtaniambia

    ReplyDelete
  2. 50 million Kila kijiji
    Kama chenge, tibaijuka ,jk, magufuli na majizi yote ya CCM watarydisha pesa hizo
    Watanzania hatudanganyiki NGO
    Lowassa Lowassa this year

    ReplyDelete
  3. Du milioni 50 kila kijiji, pesa za ufisadi hizo....

    ReplyDelete
  4. MTATUMIWA SANA KA CONDOMU MMEPOTEZA MWELEKEO HATA UENYEVITI WA VIJIJI HAMTA PATA.

    ReplyDelete
  5. YAAAANI CCM MPAKA ISAIDIWE NA HAWA WASANII WENZAO? KWELI NDIO IMEFIKA HAPA KWELI PUMNZI IMEKWISHA,

    ReplyDelete
  6. HAKUNA ANAE WASIKILIZA KULENI HELA ZA CCM MCHEZO UISHE. UKAWA KIBOKO WATU NYOMI;,CCM BILA MATAMASHA YA WASANIII HAIWEZEKA

    ReplyDelete
  7. CCM WATAPANYA PESA ZETU BUREEEEEEEEEEEEEEEEEE WALA HAWASHINDI HAWATASHINDA TUMESHAAMUA KUWAPUMZISHA ACHENI UBISHI.

    ReplyDelete
  8. Mabadiko ya vimada na mabwana WA CCM
    Wengi wameacha wake zao na waume zao
    Kampeni zikiisha mjuweuna Safari ya India kupata dozi

    ReplyDelete
  9. Ni Hapo Wasanii mtakapokuja kuomba radhi. Kupiga kura si usanii. Inatumika busara, Elimu na kujitafakari kujua nini wapi tumetoka, tunakwenda. Kuangalia mapungufu na nguvu na umoja wa wananchi. Wasanii ni wachache na Wanaigiza tu. Wananchi ambao wanasota wanauchungu wa nchi hii Wataibwaga CCM. Hawa ni Wazalendo, Wachapakazi na wameona mwaka huu wanataka mabadiliko ya kweli nje ya CCM. Mtaisoma namba tu.
    Nyinyi mnalipwa vizuri, mnapewa madonge kiurahisi. Wananchi Wanasota mchana na usiku. Ndio watakaokiandika kitabu kipya. Piteni mitaani na pombe zenu, hatuhitaji kulewa. Tunahitaji maji safi. Ukawa na Chadema ndio chaguo letu. Nyinyi zungusheni bodi zenu tutaziangalia tu. Si za Bure?

    ReplyDelete
  10. Hela wale wao na familia zao halafu sisi?wanafiki wakubwa nyie,kura yangu upinzani.

    ReplyDelete
  11. Huu mwaka wa mavuno wasanii chukueni mihela hiyo maana kuzunguka tanzania yote hiyo kuacha familia zenu siyo bure.

    ReplyDelete
  12. Ccm mmechoka mpaka wabwia unga wanafanyia kampeni

    ReplyDelete
  13. COMMENTS ZENYE AKIR I SANA NA UJUMBE HONGERENI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA TUAMKE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad