Watu Hawana Huruma....Mtemvu Rasmi Out Ubunge Temeke..Wananchi Wasema Imetosha

Yaani Mtemvu alipiga kampeni na mabango kila kona, akawa anatumia vijana wanondoa mabandiko ya CUF na Chadema Temeke. Siku ya kuamkia Jumapili ya Kura alihonga vijana wakashusha bendera za Chadema na CUF mitaani. Kwa hiyo siku ya Kura ni sura ya Mtemvu na bendera za SSM zilikuwa zinapepea tu. Ni hivi wananchi hatuangalii sura wala Bendera. Walipiga kura kwa kipenzi walichokitaka. Diwani wa Kata ya Changombe Chali alikuwa SSM. Hakuwa na msaada kwa Wanakata kwa terms mbili. Ana bar yake alihonga watu bia weeee. Wakanywa na wakapiga chini. Safi sanaaaan. Uliingia na Mtemvu na mmeondoka pamoja.

By kamtesh/JF

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. amestahili kilicho mtokea alikuwa kivuli na sio kiongozi

    ReplyDelete
  2. Auze unga Na kupeleka watu kufanya Kazi uarabuni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad