Waziri wa Nishati na Madini Simbachawene Awashukia Magufuli na Lowassa Kwa Kutumia Mgao wa Umeme Kujipatia Kiki

Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene amewataka wanasiasa kutotumia mgawo wa umeme kama turufu ya kisiasa. Waziri Simbachawene amesema umeme ni jambo la kitaalamu na si la kisiasa. Amesema uzalishaji na usambazaji wa umeme ni suala la kitaalamu.
Waziri Simbachawene ni kama amewajibu wagombea wa Urais Edward Lowassa na Dr. Magufuli. Ni wagombea hao waliozungumzia mgawo wa umeme kwenye mikutano yao ya kampeni. Wote wawili waliwapiga mkwara Maafisa wa TANESCO kwa kukatakata umeme.
Waziri amempinga hadharani mgombea wa chama chake,Dr. Magufuli. Siasa kweli ni usanii!
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeme Dili la Bao la mkono
    Magufuli kusema ni Dili tu
    But we are IT hata umeme ukizima tunajuwa Kila kitu ole wenu

    ReplyDelete
  2. MAWAKALA WETU UKAWA ILE SIKU YA KUPIGA KURA TUWANUNULIE HIZI TOCHI ZA`KISASA ZA MACHO MENGI NA BETRI MPYA SIMBACHAWENE HANA UJASIRI HUU WA KUROPOKA KATUMWA NA KIKWETE.CCM ANGALIENI,SAFARI HII TUMEJIPANGA KWELI KWELI.MTAUMIA,OHOOO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad