Zitto Kabwe Achukizwa na Yaliyotokea Zanzibar ya Kufuta Uchaguzi..Atoa Kauli Kali..
3Udaku SpecialOctober 29, 2015
KAULI YA ZITTO KABWE KUPITIA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK
"Tume kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar ni Kitendo cha kulaaniwa na wapenda demokrasia wote. Hii ni chanzo cha vurugu nchini. Kuna haja gani ya demokrasia sasa??"
Kweli mkuu,wamwachie Maalim Seif aongoze kwa kuwa ni wazi wananchi wa Zenji wanaafiki. Ila kwa bara hata waulize malaika na kurudia uchaguzi kwa kuuliza kila mtu kwa kaya CCM itaibuka kidedea.Magufuli atashinda tu,amejiuza sana na amekubalika,anastahili kabisa, tuache ushabiki wa ili mradi CCM iondoke.Tumuombee tu.
wananchi wengi sana ndani na nje ya tanzania tunailaani ccm kwa njama hii iliyofanyika zanzibar si tuu ya kufuta matokeo,bali kuufuta ushindi halali wa mgombea wa cuf maalim siif sharrif hamad.sasa suali je hatma ya uongozi wa zanzibar kwa sasa itakuweje?pili tukubaliane kwamba rais mpya atakayeapishwa si wa jamhuri ya muungano wa tanzania bali ni wa sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania yaani TANGANYIKA.kwa hiyo rais atakayeapishwa ni wa tanganyika na kwa hiyo, TANgANYIKA IME KWISHA ANZA.
Kweli mkuu,wamwachie Maalim Seif aongoze kwa kuwa ni wazi wananchi wa Zenji wanaafiki.
ReplyDeleteIla kwa bara hata waulize malaika na kurudia uchaguzi kwa kuuliza kila mtu kwa kaya CCM itaibuka kidedea.Magufuli atashinda tu,amejiuza sana na amekubalika,anastahili kabisa, tuache ushabiki wa ili mradi CCM iondoke.Tumuombee tu.
wananchi wengi sana ndani na nje ya tanzania tunailaani ccm kwa njama hii iliyofanyika zanzibar si tuu ya kufuta matokeo,bali kuufuta ushindi halali wa mgombea wa cuf maalim siif sharrif hamad.sasa suali je hatma ya uongozi wa zanzibar kwa sasa itakuweje?pili tukubaliane kwamba rais mpya atakayeapishwa si wa jamhuri ya muungano wa tanzania bali ni wa sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania yaani TANGANYIKA.kwa hiyo rais atakayeapishwa ni wa tanganyika na kwa hiyo, TANgANYIKA IME KWISHA ANZA.
ReplyDeleteKama yamekukera usiende kwenye kuapishwa magufuli
ReplyDelete