Askari Polisi Afutwa Kazi Baada ya Video Kuonesha Akipokea Fedha..Hapa Ipo Video ikionyesha Mchezo Mzima

JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyetambulika kwa namba F. 785 CPL Anthony Temu (46) wa kituo cha Polisi Kabuku kwa kosa la kufedhehesha jeshi hilo.

Akitoa taarifa kwa vyombo ya habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Zuberi Mwombeji amesema askari huyo amefukuzwa baada ya kuthibitishwa kwa taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akiomba na kupokea rushwa wakati akitekeleza majukumu yake.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wabaya wamemfukuzisha kazi mangi wa wenyewe!

    ReplyDelete
  2. Sijaona kosa lake
    Kwani wakuu wa walioteuliwa na rais , majizi yote yanapeta mbona rais kikwete hakufukuzwa kazi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad