Baraza la wanawake la CHADEMA Zanzibar laanza kufunga ofisi za chama hicho visiwani humo kupinga walichokiita unyonyaji kwa kupinga uteuzi viti maalum.
Baadhi ya Mikoa ya Pemba na Unguja wameanza kushusha bendera za CHADEMA, hawakubaliani na uteuzi wa viti maalum.
Wanadai Zanzibar ilitakiwa ipate nafasi tano za Viti maalum.
Makamu mwenyekiti wa BAWACHA Zanzibar Hamida Abdallah Aweshi amesema wamechoka na ukandamizaji na maamuzi yaliyofikiwa na Chama hicho kutokana na mgawanyo wa hafasi za Viti maalum vya Ubunge, amesema makao makuu ya CHADEMA wamekataa kusikilizwa kilio chao. Amesema wamekosa sehemu ya kupeleka kilio chao.
BAWACHA Zanzibar waanza kushusha bendera za CHADEMA kupinga uteuzi wa Viti Maalum
6
November 17, 2015
Tags
Hii Ni dalili tosha ya utapeli mnaoendelea kushuhudia ndugu zetu wazanzbar CDM Ni Mali ya mtu mmoja taasisi yenye watu wengi maamuzi yote hufanywa na wengi. Poleni Sana tunawakaribisha CHAMA CHENYE MISINGI NA TARATIBU IMARA . KARIBUNI NYUMBANI MSIFADHAIKE.
ReplyDeleteNANYINYI MMEKOSA KAZI KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAFISIDI(CHADENA)
ReplyDeletekwani hicho chama kingine cha chukua chako mapema kina msaada gani kwa watanzania tunaona wachache tu wakilisha matumbo yao na mashabiki mmeishia kukipigia debe. kweli hii nchi watu wameridhika na umasikini.
ReplyDeleteYaani hili ndo tatizo la wasomi watu wanasema kunde wewe unasema maharage ya Chadema yanahusu nini CCM hata kama Cdm wanaudikiteta lazima usingizie CCM
Deleteukia Zanzibar inahangaika, na kutokuwa na msimamo ndio hivi. Mtahangaika bila mwisho. Mtapigwa huku na kule sababu hamuelewi. Chadema imewsaidia sana na bado kupitia Lowassa. Kama mmeamua kuwa na CCM nendeni. Lakini kitakachowakuta Msilie tena. Hamuaminiki. Elimu hapa ni ngumu.
ReplyDeleteSasa mnapinga kitu gani kwani nyie ni wachaga?Mlishaambiwa kuwa Cha(Chaga),De(Development),Ma(Manifesto),yaani CHADEMA ni chama cha kuendeleza wana uchaga,sasa nyie watumbatu mnaingiaje humo?Amakweli nyumba ya shatani mwendawazimu hatii mguu!
ReplyDelete