Breaking News: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani GEITA Auawa Kinyama Kwa Kukatwa na Mapanga na Shoka Wakati Akifanya Kampeni za Kumnadi Diwani Wake

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake

Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je Tamko kutoka kwa Raisi mpya kuhusu haya mauaji mbona sijasikia. Umoja, Amani, Upendo na utu lini vimetoweka Tanzania kupitia Siasa.Huu ni unama zidi ya mnyama. Je hawa Watu wanaotumika wanaelimu hawana. Ni nani au chama gani kinachojihusisha na mauaji. Sheria za Tanzania lazima zibadilishwe. Badala ya kunyanyasa wau tofauti kichama ebu leteni watu wenye uwezo, Wazalendo, na wenye haki.
    Amani lazima izingatiwe.Maisha ya binadamu lazima yathaminiwe na wote.Na wahusika Wanyongwe iwe fundisho kwa wengi. Tutamkumbuka Nyerere na Enzi zake. Hawa Maraisi waliomfuata wameipotosha nchi, wameua elimu, uzalendo na utu. Inabidi Raisi Magufuli ashughulikie Katiba kwanza, Arudishe sheria zifanyazo kazi, Achague viongozi wene sifa na elimu kikazi, na Arudishe Amani kwanza na kuunganisha nchi.
    Magufuli Tafadhari rudisha Hadhi, haki, umoja, uzalendo, Amani, na dumisha uhuru na kaza elimu.
    Elimu imeshuka sana. Watu wengi wanapesa nyingi si halali bila elimu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad