Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.
Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9..Atoa Agizo Hili..
10
November 23, 2015
Tags
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteAfute na mwenge
ReplyDeleteUna akili we Tingatinga mpaka unapitiliza,watu(UKAWA) wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa ( Mawazo)wao kisa kipundupindu,sasa leo sherehe za nini wakati kila kona Tanzania kuna kipindupindu?MUNGU AKUBARIKI UZIDI KUFUNGUKA,WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO,TUNAKUOMBEA tunajua wako wanaokupiga vita,washindwe kabisa.
ReplyDeleteMAGARI YA MILIINI 90 NA POSHO ZA WABUNGE NAZO ZIFUTWE TUNATAKA PESA ZITUMIKE KWENYE MILADI. KAMA WABUNGE HAWATAKI WAACHE UBUNGE
ReplyDeletenimeipenda hiyo,.... nadhani waliokutangulia katika urais wanakuonea donge ulivyo tofauti na wao hususan kifupi nyundo mbabe. weraweraweraweraweraaaaaaaaa
ReplyDeleteheheheeee
ReplyDeletetutaona mengi mwaka huu
ReplyDeleteMr ndunguru wewe unaweza kushangilia kivyako-vyako huku wenzio HAPA KAZI TUU hakuna uhuru bila haki na haki ni kwa wrote sio wachache , sijawai kumpenda said yyte bongo lakini ma🔒🔒🔒 nimemkubali
ReplyDeleteCCM OYEEEEE HAPA
ReplyDeleteKAZI TU MR RAIS
Jamani 9 December iko palepale isipokuwa itasherehekewa tofauti, badala ya kucheza ligwaride la uwanjani, litachezwa ligwaride la usafi.......HAPA KAZI TU
ReplyDelete