Hali si Shwari Kivuko cha Kigamboni..Baadhi ya Watu Watumia Mitumwi ya Wavuvi Kuvuka

Kivuko cha MV Magogoni leo asubuhi kimepata hitilafu na hivyo kushindwa kufanya kazi ya kuvusha watu kutoka na kwenda Kigamboni

Hali hii imesababisha baadhi ya watu kutumia mitumbwi ya wavuvi kuvuka

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pigeni mbizi,Kwani.nyie watu?.nyie samaki tuu km hamjui,nabado.....do

    ReplyDelete
  2. Alishasema mtaogelea mmesahau ndio mwanzo wake huo

    ReplyDelete
  3. Na badoooooooooooo
    Huo mwanzooooooooo tuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad