Si wakati wa kuonyesha tofauti zetu za kiitikadi, ni wakati wa kuona lipi ni sahihi na lipi si sahihi. Kama Mtanzania ninapoona Mtanzania mwenzangu amekatishwa maisha yake kwa mtindo wa kinyama namna ile ninaumia. Wahusika wa tukio hili hawana budi kuchukuliwa hatua bila kujali walitenda hili kwa lengo gani. Sheria ionyeshe kua yenyewe ni msumeno na kweli ukata huku na huku. Kuna mambo tukiyafungia macho matokeo yake yatakuja kutuathiri baadae.
By Glory Tausi
By Glory Tausi
Serekali Ipo Wapi ? Maskini kijana wa watu
ReplyDeleteInafurahia kwa kutimiza lengo!!.. ni wale wale kutoka nanihii ile ile!!.. wamechakachua matokeo, bado hawajiamini, kwa kuwa hawakubaliki, na hawatakubalika!!! Mbwa mwitu kabisa hao!!
ReplyDelete