Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
kama alikuwa na mawazo ya kuja kuwa waziri mkuu Nampa pole saaannaaa, alikuwa anaota!
ReplyDeleteWewe veepee?? Kwani alishawahi kukwambia kwamba anategemea kuwa PM??
ReplyDeleteMakamba hajipendekezi isipokuwa ni mchapakazi na muwajibikaji katika nafasi zake, ndo'maana unasema anajipendekeza........ inaelekea Mh. Makamba anakuumiza sana, bashi POOYEE........
ebu tupe mfano wa uwajibikaji wake!!!!
DeleteNyie acheni mabishano tuliombee Taifa letu liwe na Amani na utulivu.
ReplyDeleteMakamba anafanya kazi gani umeenda jimboni kwake ni maskini wa kutupwa hajafanya chochote ,kwanza hata huo uwaziri wakimpa basi tu lakini amri yangu asingepewa chochote akafanye kazi huko bumbuli kwanza
ReplyDeleteWewe jimboni kwake umeenda au umepita tu? Kama unataka kuyajua vuzuri ya bumbuli ni vema uwaulize wanabumbuli kwanza.
DeleteAliyekuambia January Makamba anataka uwaziri mkuu nani?Ungemuambia Mbowe kusaliti wenzie kwa kutegemea mgombea wake angepata urais ili aambulie uwaziri ingefaa kuliko hili unalolopoka kwa Makamba.Wapi CCM B?WOTE KIMYAAAAAAAAAAAAA.HAPA KAZI TUU.
ReplyDeleteJamani acheni malumbano ya chama sasa tumsikilize Magufuli na serikali yake watakavyo watumikia WATZ. Ikifika 2020 muanze tena mabishano.na Makamba ajaribu tena Urais tuone..
ReplyDelete