Mwalimu Nyerere once a time alisema kama nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO siku watanzania watamkumbuka Rais Kikwete.
kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.
1. VITISHO NA HOFU
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.
2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.
3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day
4.UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.
Conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .
By Assadsyria3
Je Kasi ya Magufuli na Watendaji Wake Ndio Mwanzo wa Udikteta? Ama ni Kasi Inayotakiwa Katika Taifa Hili ?
6
November 29, 2015
Tags
Hayoo maoni yako hayana tija yeyote kwa tanzania ya sasa , haki ya binadamu kwa uzembe unaoneka wazi kabisa au kwa vile anafanya magufuli ingekuwa ni mtu wa ukawa ingekuwa sahihi wacha tuonyoke kwanza Kama ni mfumo hayo wanao adabishwa wako kwy mfumo na ndio unaanza kubadilishwa
ReplyDeletekwa kuwa ni shamba la bibi eeh? lol.... leo mkasi hapa.. wasalaam
ReplyDeletewewe nimja wa hojumu nchi ndio maana or baba yako ni one of muasilika wa walikumbwa na tenga tenga la Mangufuli. Nchi imeoza and we need that kind of person to clean up the country. watu walikuwa wananyaswa left and right unaenda muhibili kama tuna hela na wewe nimasikini no body give F…. about you utalala chino usubiri panado yabure, watu wamekuwa kama wanyama, utu umeisha kabisi utakuta katoto kanaumwa mama anaulizwa kama anahela ili mototo atibiwe so hawa masikini tuwapeleke wapi? sasa wamepata mtu wakuwatete were unaleta ujinga wako hapa. Please you don't have point there go and sit down somewhere and let the tingatinga do his job.
ReplyDeleteHuyu mwandishi katumwa kabisa 😂 😂 😂 sasa waambie waliokutuma hapa kazi tu unafikiri kama zamani wa tz tulikuwa tumelala usichokoze nyuki waliotulia mzingani you should be ashemed of your self
ReplyDeleteWatanzania wanaongea sana na wanajua sana ndiomaana hawaendelei tazama inchi ya Tanzania haikukumbw na vita vyovyote kama inch nying za Afrika ilaa inahuzunisha na kushangaz kuon inch ikonyum kimaendeleo na kushindwa na inch ambaaz zilikua vitan myak ming na sasa zinamaendeleo ambao Tanzania kufany ifikie itawachukua mda mref. Huwa nawashangaa watanzania wengi weny kumusif mwalim wao Nyerere kwan ali watendea nini kuhus maendeleo? kwang kam raiasikuon chochot alicho kifany isipo kua tu kuilind inch na kuwafany watanzania waish na amani na upend ila kimaendeo hakufany chochot kwa inch yeny amani bila vit vyovyot. Nikitazam marais wengin walio mfat waliendelez ule mfum wa mwalim wa kulind inch ila bila maendeleo yoyote. Ila kwa huy Magufuli jins ninavy muon kwakweli akiendelea hiv atalind inch na kuikuz kiuchum na kuiletea maendeleo ambao kil mtanzania atafurahia na atakua kumbukumb za watanzania wote na kuvunj rekodi ya mwalimu. Watanzania munaongea sana, munajifany kujua san njomaana hamuendekei ila kwa Magufuli kweli atawanyoosha. Haya yot nayasem kutokana na video za Magufuli alipo kua wazir jins alikua anaendesh wizar yak na kutekelez uwajib wak kweny utendaj wa kaz. Hongear Maguful usipunguz kas endelea na inch utaingeuz kua kivutio cha ulimwengu. Ahsanteni.
ReplyDeleteWewe mwandishi au mtoa hiyo hoja yako hapo juu ndio ulipaswa to think twice before writing your fun crap hapo nothing goes fair corruption is stinking everywhere within the country watumishi wa serikali wengi wao ndio madikteta wakali wababe mpaka utoe rushwa ndio upate haki yako hawajali time ya kuja au kuondoka makazini/ofisini mwao haya ukiingia mitaani beer 1 tsh2500 chupa ya maji kati ya tsh700/1000 public transport tsh400 one way pesa niliwahi kununua kipande cha muhogo wa kukaanga Coco beach nikaambiwa nitoe tsh1000 just imagine yourself where are we going?Na kero nyingi tu zinazowakabili watanzania wa hali ya chini shauri Rais aliyepita na utawala wake he never give a damn at all mlizoea kujipangia sheria zenu wenyewe sasa amekuja Rais anayetaka kuichomoa nchi katika tope tayari mmeishaanza na fucking comments zenu unafikiri nchi zilizoendelea duniani zimeendelea kivipi?Kwa kufanya kazi kwa bidii na moyo mmoja haki kwa wote na sio baadhi ya kundi fulani tu kama ilivyokuwa huko Bongo angalia mtu mmoja anakuwa na nyumba 73 kweli hiyo wewe kandia uliyeandika hapo juu inakuingia akilini?Anafanya kazi gani na anapata mshahara wa kiasi gani mpaka kujenga nyumba zote hizo in a very short time?Na yeye sio peke yake wapo wengi tu muache huyo Rais mwenye uchungu na wananchi wake waliokuwa wanagandamizwa toka Rais awamu ya pili ya tatu na ya nne afanye vile inavyotakiwa iwe ili kweli siku moja watanzania at least wajione kuwa yes na sisi tunaishi kama kweli binadamu anavyotakiwa kuishi elimu bora dawa chakula na mahitaji mengine muhimu BIG UP MR.PRESIDENT MAY GOD GUIDE AND PROTECT YOU ALONG THE WAY FIRE BURN ALL WICKED GREEDY PEOPLE.ALAMSIKI
ReplyDelete