Nilisikitika sana kuona Rais mstaafu JK akiagiza Magari zaidi ya 700 kwa ajili ya Polisi.
Kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwamba je tulikuwa na haja ya kuagiza magari mengi namna hiyo?
Turudi kwenye uhalisia wa mambo ya msingi.
Ukienda kwenye Hospitali za Serikali, Hakuna madawa, Mashine za CT scan zimeharibika wakati huo huo wagonjwa wakilala chini kwa kukosa vitanda.
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo na kukosa haki za kupata elimu.
Sasa nauliza je kulikuwa na umuhimu gani wa kuagiza magari kama hayo wakati kuna mambo mengi yanaharibika kwa fedha kukosekana?.
Je Kununua Magari zaidi ya 700 kwa ajili ya Polisi Wakati Wagonjwa Wanalala Chini Mahospitalini na Vifaa Havifanyi Kazi ina Tija Kwa Taifa?
7
November 11, 2015
Tags
HILO HALIMUHUSU JPM MNAHOJI KWA MIHEMUKO MWACHIENI ASAFISHE MAFISADI NA MAJIZI MTASOMA NAMBA MWAKA HUU
ReplyDeleteJe unaweza ukatumia herufi ndogo?
Deletehuyo ndio mkwere
ReplyDeleteMi nadhani wangemnunulia bata dingi wa aliyeleta huu uzi ili ajivinjari kwa ukiwa alioupata!
ReplyDeletewewe nawe akili yako ipo makalioni
ReplyDeleteusalama kwanza!
ReplyDeletekukiwa na machafuko hizo hospitali hazitakuwepo!
Kulinda Na kuiba kura za Ukawa
ReplyDeleteDunia nzima tunajuwa