Je Kununua Magari zaidi ya 700 kwa ajili ya Polisi Wakati Wagonjwa Wanalala Chini Mahospitalini na Vifaa Havifanyi Kazi ina Tija Kwa Taifa?

Nilisikitika sana kuona Rais mstaafu JK akiagiza Magari zaidi ya 700 kwa ajili ya Polisi.

Kinachonisikitisha na kunishangaza ni kwamba je tulikuwa na haja ya kuagiza magari mengi namna hiyo?

Turudi kwenye uhalisia wa mambo ya msingi.

Ukienda kwenye Hospitali za Serikali, Hakuna madawa, Mashine za CT scan zimeharibika wakati huo huo wagonjwa wakilala chini kwa kukosa vitanda.

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo na kukosa haki za kupata elimu.

Sasa nauliza je kulikuwa na umuhimu gani wa kuagiza magari kama hayo wakati kuna mambo mengi yanaharibika kwa fedha kukosekana?.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HILO HALIMUHUSU JPM MNAHOJI KWA MIHEMUKO MWACHIENI ASAFISHE MAFISADI NA MAJIZI MTASOMA NAMBA MWAKA HUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Je unaweza ukatumia herufi ndogo?

      Delete
  2. huyo ndio mkwere

    ReplyDelete
  3. Mi nadhani wangemnunulia bata dingi wa aliyeleta huu uzi ili ajivinjari kwa ukiwa alioupata!

    ReplyDelete
  4. wewe nawe akili yako ipo makalioni

    ReplyDelete
  5. usalama kwanza!
    kukiwa na machafuko hizo hospitali hazitakuwepo!

    ReplyDelete
  6. Kulinda Na kuiba kura za Ukawa
    Dunia nzima tunajuwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad