Kasi ya Rais Mgufuli, mzigo wa thamani zaidi ya milioni 300 wakamatwa bandarini.

Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzembe na kuanza kufanya kazi.

Makontena zaidi ya 30 yamekamatwa yakiwa mbioni kusafirishwa kwenda nchini China yakiwa na mzigo wa magogo kinyume na sheria za nchi.

Haijulikana makontena mengine mangapi yamesafirishwa kabla ya haya makontena kukamatwa.

It's a new dawn, new day and new life for business as usual!

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna ushenzi sana pale bandalini na tra watu wanakula keki ya taifa pekeyao

    ReplyDelete
  2. Meno ya tembo Zurich vipi

    ReplyDelete
  3. China mabasha WA CCM
    Eti wawekezaji
    Kinana huyo Na kikwete

    ReplyDelete
  4. Mimi hawa viongozi wanajifanya wanafanya kazi wakati huu wananitia kichefuchefu walikuwa wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kichefu chefu kweli...huyo jamaa hapo kwenye video ni moja wa wale watu ambao kila siku walikuwa na safari za kwenda kutembea Ulaya kupelekea watoto wao pesa za matumizi vyuoni huko Ulaya huku akigarimiwa safari hizo na pesa za umma. Ninapomuona hapo sasa hivi akijifanya anajua sana kufanya kazi natamani kutapika maana wote hao hizo ndo dili zao!!!!

      Delete
  5. Huo mchongo wote TRA wanaujua, wafanyakazi wengi wa TRA ni 'wapigaji' aka WEZI wanamali hazilingani na mishahara wanayolipwa, ndio wanawatia tamaa vijana wenzao, kila msomi anataka Accounts ili akapate kazi TRA, lakini mwisho wenu UNAKARIBIA........

    ReplyDelete
  6. Amakweli 'mvunja-nchi-ni-mwananchi'!! Wafanyabiashara wakubwa na wafanyakazi wa TRA ndio wanao-tuibia watanzania, hebu muyataje hayo makampuni tuwajue wezi wetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad