Hafla ya Kumuapisha Mh. Majaliwa imefanyika kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwemo, Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. samia Hassan Suluhu, Rais wa Zanziba, Dk. Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais Msitaafu, Dk. Gharib Bilal, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, Wabunge, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, Wabunge na wageni wengine.
KIAPO: Kassim Majaliwa Aapishwa Rasmi Ikulu Ndogo Dodoma Kuwa Waziri Mkuu
4
November 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, asubuhi hii amemuapisha Mbunge wa Ruangwa, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mjini Dodoma.
Hafla ya Kumuapisha Mh. Majaliwa imefanyika kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwemo, Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. samia Hassan Suluhu, Rais wa Zanziba, Dk. Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais Msitaafu, Dk. Gharib Bilal, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, Wabunge, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, Wabunge na wageni wengine.
Hafla ya Kumuapisha Mh. Majaliwa imefanyika kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwemo, Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. samia Hassan Suluhu, Rais wa Zanziba, Dk. Ali Mohammed Shein, Makamu wa Rais Msitaafu, Dk. Gharib Bilal, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, Wabunge, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange, Wabunge na wageni wengine.
Tags
YES!HE CAN.
ReplyDeletechamwino imekuwa ikulu ndogo HAIPANDI CHEO kwa miaka 44 sasa,na bado inaitwa ikulu ndogo.baada ya shughuli hii magufuli anarudi dar kwenye bahari na mengineyo.magufuli alisema yeye ni mabadiriko ya kweli,lakini tunapoziona dalili tunasema wananchi hatuwaelewi ccm.wale wale,yale yale.changa la macho.
ReplyDeletepumbavu ww tafuta pengine pa kusimamia
Deletesiielewi hii picha naona watu lundo wanaapa wangapi ,na wanaapishwa wangapi pawe na utaratibu mzuri,haipendezi.anayeapisha na anayeapa full -stop.ondoeni aibu.
ReplyDelete