Kisa Siasa, JACK WOLPER Atelekeza Tasnia ya Filamu, Aamua Kujiimarisha Kwenye Ulimwengu wa Siasa

UPO? Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa.

Rafiki wa karibu na Wolper aliyeomba hifadhi ya jina lake mwanzoni mwa wiki hii, aliliambia gazeti hili kuwa Wolper kwa sasa amekolea sana kwenye mambo ya siasa na kuona kama amekuwa akipoteza muda mwingi kwenye mambo ya uigizaji.

Baada ya kupata ‘ubuyu’ huo, mwandishi wetu alimtafuta Wolper ambaye alikiri kuamua kupumzika kidogo mambo ya uigizaji huku akishindwa kuweka wazi atajikita kwenye nafasi gani ndani ya ulingo wa kisiasa.

Aah, kila mtu ana mipango na malengo yake, ni kweli kwa sasa nina mambo mengi ya kufanya kupitia siasa, nimejifunza vitu vingi mno vya msingi na muhimu, nimeweka kando kwa muda uigizaji, muda ukifika wa kuendelea na fani hiyo, nitasema,” alisema Wolper.

Source:Globalpublishers

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni lazima abaki katika siasa, pengine huyo 'zoa zoa' DJ Mbowe kesha'mfunua ili ampe viti maalum

    ReplyDelete
    Replies
    1. hizo ni hisia zako tu.

      Delete
    2. Koma mbona hao malaya walionunuliwa magari kwa kampeni za CCM

      Delete
    3. nawewe kafanye umalaya ununuliwe

      Delete
  2. Sawa Tu wangapi wamefunuliwa na jk na walipewa uwaziri unaona ajabu kwa mbowe , wivu Tu huna lolote ulitaka awe ccm ndio uone sawa kuteuliwa fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  3. mtoto mzuri kama huyu hata mimi mwenyewe ningemfunua!! na viti maaalum angepata!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Angepita Uyowa CCM
      Mbona Chali chezea CCM ina wenyewe wengine mtatangatanga

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad