Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito Kuhusu Kinachomsumbua

Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion ya kwanza nilikosewa ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari wameshajua nini cha kunifanya ili kuondoa mateso kwangu
Jifunze kitu kupitia hii pic yangu na si kucoment ujinga jiulize ungekuwa wew mama yako dada yako mume,mke, wako ungeweza kusmile kma mimi hali ya kuwa una maumivu?
Jifunze kitu kupitia wastara
na sijajidharirisha nimetaka wewe unijue nilivyo ili usiteseke na maswali juu yangu
Sijakatwa miguu yote kma ilivyovumishwa na pia pamoja na maumivu ninaweza kutembea japo si mwendo mrefu sana na naendelea kusmile
SOTE TUSEME ALHMADULILAH
ASANTE MUNGU

Wastara Juma @wastara84 on instagram
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
    Replies
    1. SubhanAllah ..Astaghfirullah. Wewe mdau Unaishi sayari gani?Mungu Akusamee. .badala ya kujiombea wewe Mola Akukinge na balaa hilo!UNAMUHUKUMU MWENZIO ETI MGUU MWINGINE UKATWE!..KWA KUWA KAZIDI UMALAYA! !!..JE NA WEWE ULOTAKASIKA,MBONA HUKAI MUDA WOTE KUMSHUKURU MOLA WAKO????KISHA WAPOTEZA MUDA WAKO NA KUINGIA HUMU NA KUCOMMENT. .DUAH MBAYA KWA WENZIO...ACHA HIYO TABIA MBAYA. .ISIJE SIKU ANAKUIJIA ISRAEL KUCHUKUA ROHO YAKO NA WEWE UNASIKIKA KWA WATAKAO KUWA WAMEKUZUNGUKA (JAMAA ZAKO)..KWA MATUSI NA KUWA LAANA WATU..POLE SISTER WASTARA MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE TAH'FIFU

      Delete
    2. hilo ombi unalomwombea mwenzio likikuludia utajutaje.

      Delete
    3. Kila muomba baya hupewa mara mbili yake na muumba. Ya Rabbi naomba ujaalie alietoa comment hiyo hapo juu adhabu kubwa ya duniani mara mia ya anayomuombea mwenzie

      Delete
  2. EEE MOLA MSAMEHE HUYO MAANA HAJUI ATENDALO. WASTARA MUNGU NI MWEMA AKUPONYE NA KUKONDOLEA MAUMIVU YAKO AMEEN.

    ReplyDelete
  3. JAMANI ADMIN COMMET ZINGINE HUWA HAMZITOI KWANINI MMEITOA HIYO YA KWANZA?? HAIKUPASWA KABISA KUTOLEA HADHARANI MNACHANGIA KUMUUMIZA WASTARA MNAPATA FAIDA GANI??

    ReplyDelete
  4. Inahusu nini
    Miguu yote ikatwe
    CCM walie

    ReplyDelete
  5. Pole sana dada angu Wastara, Mungu akupe nafuu ya haraka na uendelee na mapambano katika haya maisha, Mungu akutie nguvu..

    ReplyDelete
  6. Ama kweli kuna watu hawana hata hofu ya mungu lol!! Hivi kabisa unanyanyua kinywa chako na kumuombea mwenzako mabaya,wewe kiumbe ulokamilika hii dhambi itakutafuna kumbuka hujafa hujaumbika!! Pole my dear wastara hakika mungu atakuponya nakukuondolea maumivu uliyo nayo Ameen. .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad