LIVE TOKA BUNGENI: Rais Magufuli Ampa Hongera Zitto Kabwe Kwa Kutokuleta Fujo Bungeni na Kubakia Ndani ya Bunge Wakati Ukawa Wametoka


LIVE TOKA BUNGENI:Muda huu Rais Magufuli Anatoa Hotuba yake ndani ya Bunge na Amempa Hongera Zitto Kabwe Kwa Kutokuleta Fujo Bungeni na Kubakia Ndani ya Bunge Wakati Ukawa Wametoka Baada ya Kutolewa na Spika kutokana na Utovu wa nizamu walioonyesha kwa Kupiga Makelele

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WABUNGE WA UKIWA NAHISI WALIKULA MAJANI MAKALI.....aibu kwa wapiga kura wao...hivi hawa wataanzaaje kuingia ofisi ya mhe Rais kwenda kujadili au kuhitaji msaada kwa ajili ya maendeleo ya majimbo yao!!!

    ReplyDelete
  2. Zito anasubiri apewe uwaziri

    ReplyDelete
  3. UKIWA baba yako aliekutolea haja kubwa wewe mtoa maoni wa kwanza.

    ReplyDelete
  4. NA BADO, HII NI TRAILER,,PEVU INAKUJA BUNGENI HUMO HUMO. KAZI NI MBICHI.HUU NI MWANZO.UMENIIBIA KURA,UMENIIBIA USHINDI,NI DHALIMU LEO HII NIKUKENULIE MENO KISA? SIKUACHII .YA ZITTO KABWE YATATUPOTEZEA MUDA.DHULUMA INAYOENDELEA BARA,DHULUMA INAYOENDELEA VISIWANI TUTAENDELEA KUILAANI KWA KUTUMIA MBINU INAYOTAMBULIWA NA MATAIFA YOTE,KUSUSIA,KUONGEA,KUPIGA KELELE,KUANDIKA,KUCHONGEA.LEO HII MAGUFULI KAHUTUBIA BUNGE LA MFUMO WA CHAMA KIMOJA,NA HII NI MWAKA 1994,KAWAREJESHA WASIKILIZAJI WAKE MIAKA 22 ILIYOPITA.PATAMU HAPO.TUMEJIZATITI KWA MIAKA MITANO IJAYO.KUUKATAA UTAWALA WA KUIBA KURA WA CCMKWA BARAKA ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.MWIZI UTAKOSA RAHA,UTAKOSA USINGIZI,UTACHANGANYIKIWA,UTAUMBUKA MPAKA 2020.

    ReplyDelete
  5. urejeshwe utawala wa chama kimoja,geresha ya vyama vingi iko tamati.hakuna hapa mfumo wa vyama vingi,ni uongo,wizi,ulaghai na kupoteza muda.turejee tulikotoka.safari hii tutakua wakali sana.

    ReplyDelete
  6. labda upewe taarifa tuu mhe.magufuli kwamba kwa miaka mitano ijayo hutakaa uwahutubie wabunge wa ukawa,never.hilo ukilielewa mapema litakusaidia mipango yako mingine.tumeibiwa kura octoba 25 nec imepindua matokeo ya kweli.hatuna raha wala imani wala amani na ccm-yeyote-tunawaheshimu,mtuheshimu tukae hivi hivi kwa miaka mitano. watanzania tulio wengi tumeibiwa ushindi.mwizi,wezi wetu hawa hapa,wanastahili kutengwa na jamii yote.ni wezi,yaani watu wabaya kabisa.

    ReplyDelete
  7. Mimi nashangazwa na wabunge wa UKAWA, wanamkataa Rais, watagomea bunge lakini mbona hawakatai posho na mshahara kutoka serekalini? Huu ni ujinga na upumbavu kuna watu wamewapigia KURA kwa kuwategemea wawasilishe hoja zao Serekalini lakini wao kwa ujinga wao na ubinafsi wao wanaona wanaikomoa Serekali kwa kutoka nje ya bunge kumbe ni sawa na kuwaonyesha waliowapigia KURA kuwa wao wamechagua kwa ajili ya KULA zao na si kuwasaidia waliowapigia KURA. Kuweni na akili sio mlitaka ubunge ili mje kufanya fujo bungeni bali muwasilishe kero za waliokuchagueni ili serekali ijue namna ya kutatua kero hizo.

    ReplyDelete
  8. Nyie ukawa mnatutia aibu sisi wapiga kura wenu na mkiendelea hivyo hivyo hatutawapigia kura coz hatuja wapeleka bungen kwenda kupiga kelele tumewapeleka Kule kutuwasilishia kero zetu sasa unakuwa tofauti mnatukosesha imani ya kuwaamin kwakweli

    ReplyDelete
  9. Ukiwa wanaonyesha jinsi gan hawajakomaa kisiasa hatuwezi kuwakabizi inch coz bado hamjakomaa kabisa

    ReplyDelete
  10. Ukawa kaen mkijua 2020 sio mbali tutakuja kuwakata huku majimbon shauri zenu endelen na upuuzi tuu badala ya kupeleka matatizo yetu bungen

    ReplyDelete
  11. UKAWA WAKO SAHIHI MAANA TANZANIA IMEUNDWA NA ZANZIBAR IKIWEMO. LEO TUNAPOANZA SHUGHULI ZA BUNGE WENZETU WAZANZIBARI TUNAWAWEKA WAPI? AU NDO KUASHIRIA SERIKALI TATU, CCM NAO WAKUE WABADILIKE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad