Luis Munana Afichua Siri ya Jinsi Alivyojikuta Akipendana na Wema Sepetu

Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa.

Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’ hiyo kufungwa lakini Luis ameimbia Clouds E ya Clouds FM kuwa picha zilizosambaa n halisi na zilipigwa kwenye tukio hilo lililoshuhudiwa na familia zao zote mbili.

“Kwa sasa siwezi kuzungumzia chochote kuhusu picha hizo na ndio maana niliamua kuzifuta kwenye akaunti yangu kwakuwa lilikuwa tukio la faragha,” alisema Luis.

Luis alisema alikutana na Wema kwenye Instagram Party na kubaini kuwa wote walikuwa wakipendana bila kujua. “Alikuwa crush wangu, nami nilikuwa crush wake,” alisema.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfupa aloushindwa fisi mbwa wewe utauweza
    Kwa Meno gani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu gani kila kukicha anamuwaza diomond
      Chezea wewe mdude
      Na domo lake alivyokuwa akifyonza mdude

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad