Masanja Aangukia Pua Kwenye Kura za Maoni ya Ubunge Ludewa

Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.

Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38).

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alikuwa hajui ccm ina wenyewe?bora na yeye aisome number.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama chadema ilivyo na wenyewe, kuanzia urais walipachikwa wa CCM na CUF, ubunge walipachikwa wengi kutoka CCM, viti maalum ndio hatari, wamepachikwa mahawara na vidosho wa 'wenye chadema yao' ha ha ha ha ha TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO, NDIPO UONE KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO......UPO

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad