Maskini..Lowassa Asalimu Amri Kwa Polisi Kuhusu Mkutano aliokuwa aufanye kuongea na Wananchi...Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano Wake
Maskini..Lowassa Asalimu Amri Kwa Polisi...Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano Wake
19
November 08, 2015
Tags
LOWASA WW NI MGONJWA WA AKILI NA IKULU HUTAINGIA KATIKA MAISHA YAKO NENDA KACHUNGE NQ'OMBE
ReplyDeleteMsege wewe mgojwa yupo Msoga.ana hiv na tezi dume
DeleteNa ex waziri mkuu hiv
wewe mburura
Deleteuliyetukana msenge tena wewe ndiye mwenye shughuli hiyo maana unaonekana hata hamnazo pumbaf
DeleteUamuzi mzuri Mzee. Magufuli ameisha anza kazi na wewe pumzika kwanza ndio uendelee kujenga umoja wa vyama upinzani. Pia sasa ni wakati wa kufuatilia CCM inavyojitahidi kutekeleza "mikakati ya UKAWA". Umewapa changamoto nzuri. Tunakuheshimu kwa uvumilivu na utiifu wako. Mungu akubariki.✌
ReplyDeleteSense wewe na wizi WA kura CCM
DeleteUtaingia ikulu kwa kuitwa na bwana magufuli
ReplyDeleteYaani ili lijibaba linanichefua,linaniudhi,silipendi linataka tu kutuvunjia amani ya nchi yetu sasa mkutano wa nini liangalie ovyoooo
ReplyDeleteKafanye mkutano na familia yako moshi kwendraaaaa
ReplyDeleteHUYO BABA KACHANGANYIKIWA , MIMI NAONA ANAHITAJI MSAADA WA MENTOL RELAXION, YAANI YEYE HAJIONI TUU KAMA KISHA SHINDWA? FUJO YA NINI MFUATE KAGAME RWANDA MKAENDELEZE MOVEMENT ZA MADARAKA AU NENDA KWA MUGABE AKAKUPE KOZI YA KUCHUKUA MADARAKA KAMA UTAWEZA MIIKO YAKE
ReplyDeleteHIKI KICHWA CHA MH. E. LOWASSA SI CHA MCHEZO, HV NYIE MNACHUKULIA POA MAMBO ALOPITIWA KIPINDI CHA KAMPENI UVUMILIVU, STAHA NA HEKIMA ALOTUMIA KUWA NI NDOGO?!! USHINDI ALOUPATA WA URAIS NA KUDHULUMIWA KWA KUIBIWA KURA ZETU TULOMPIGIA MNACHUKULIA NI JAMBO JEPESI? MUNGU AONAE SIRINI SIKU MOJA ATAJIDHIHIRISHA JUU YA DHULMA HII.
ReplyDeleteAliyemzurumu nani?
DeleteHakuna cha kuibiwa kura,kwani ukawa hawakuiba kura?hata wakirudia uchaguzi kesho,Magufuli anashinda.
Deletehuna jipya kalale mjinga wewe@hapa kazi tuuuuuuuu
DeleteChadema hawakuwa serious katika uchaguzi huu, kiasi cha kumsimamisha FISADI PAPA eti ndio mgombea urais!! Mnawafanya wa TZ wasahaulifu, wajinga au veepee.....Mifugo inakuhusu mzee,
ReplyDeleteshabiki maandazi.
Deletenapita tu
DeleteMatusi ya nini? Hapa kazi tuuuuuuuu. Anayebisha mchawi hata kama ni kijana. Mnyonge myongeni, haki yake mpeni! Mugufuli hoyeeee! Keshaanza kuvunja vitasa vya vinavyosababisha umasikini wa nchi nii. Chezea mtoto wa mkulima we!
ReplyDeletewambie waelewe. CCM Chama Kubwa hakuna mpinzani
ReplyDelete