Maskini..Lowassa Asalimu Amri Kwa Polisi...Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano Wake

Maskini..Lowassa Asalimu Amri Kwa Polisi Kuhusu Mkutano aliokuwa aufanye kuongea na Wananchi...Atoa Ujumbe Huu Hapa Kwa Wafuasi Wote wa Ukawa Kuhusu Mkutano Wake

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. LOWASA WW NI MGONJWA WA AKILI NA IKULU HUTAINGIA KATIKA MAISHA YAKO NENDA KACHUNGE NQ'OMBE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msege wewe mgojwa yupo Msoga.ana hiv na tezi dume
      Na ex waziri mkuu hiv

      Delete
    2. wewe mburura

      Delete
    3. uliyetukana msenge tena wewe ndiye mwenye shughuli hiyo maana unaonekana hata hamnazo pumbaf

      Delete
  2. Uamuzi mzuri Mzee. Magufuli ameisha anza kazi na wewe pumzika kwanza ndio uendelee kujenga umoja wa vyama upinzani. Pia sasa ni wakati wa kufuatilia CCM inavyojitahidi kutekeleza "mikakati ya UKAWA". Umewapa changamoto nzuri. Tunakuheshimu kwa uvumilivu na utiifu wako. Mungu akubariki.✌

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sense wewe na wizi WA kura CCM

      Delete
  3. Utaingia ikulu kwa kuitwa na bwana magufuli

    ReplyDelete
  4. Yaani ili lijibaba linanichefua,linaniudhi,silipendi linataka tu kutuvunjia amani ya nchi yetu sasa mkutano wa nini liangalie ovyoooo

    ReplyDelete
  5. Kafanye mkutano na familia yako moshi kwendraaaaa

    ReplyDelete
  6. HUYO BABA KACHANGANYIKIWA , MIMI NAONA ANAHITAJI MSAADA WA MENTOL RELAXION, YAANI YEYE HAJIONI TUU KAMA KISHA SHINDWA? FUJO YA NINI MFUATE KAGAME RWANDA MKAENDELEZE MOVEMENT ZA MADARAKA AU NENDA KWA MUGABE AKAKUPE KOZI YA KUCHUKUA MADARAKA KAMA UTAWEZA MIIKO YAKE

    ReplyDelete
  7. HIKI KICHWA CHA MH. E. LOWASSA SI CHA MCHEZO, HV NYIE MNACHUKULIA POA MAMBO ALOPITIWA KIPINDI CHA KAMPENI UVUMILIVU, STAHA NA HEKIMA ALOTUMIA KUWA NI NDOGO?!! USHINDI ALOUPATA WA URAIS NA KUDHULUMIWA KWA KUIBIWA KURA ZETU TULOMPIGIA MNACHUKULIA NI JAMBO JEPESI? MUNGU AONAE SIRINI SIKU MOJA ATAJIDHIHIRISHA JUU YA DHULMA HII.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aliyemzurumu nani?

      Delete
    2. Hakuna cha kuibiwa kura,kwani ukawa hawakuiba kura?hata wakirudia uchaguzi kesho,Magufuli anashinda.

      Delete
    3. huna jipya kalale mjinga wewe@hapa kazi tuuuuuuuu

      Delete
  8. Chadema hawakuwa serious katika uchaguzi huu, kiasi cha kumsimamisha FISADI PAPA eti ndio mgombea urais!! Mnawafanya wa TZ wasahaulifu, wajinga au veepee.....Mifugo inakuhusu mzee,

    ReplyDelete
  9. Matusi ya nini? Hapa kazi tuuuuuuuu. Anayebisha mchawi hata kama ni kijana. Mnyonge myongeni, haki yake mpeni! Mugufuli hoyeeee! Keshaanza kuvunja vitasa vya vinavyosababisha umasikini wa nchi nii. Chezea mtoto wa mkulima we!

    ReplyDelete
  10. wambie waelewe. CCM Chama Kubwa hakuna mpinzani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad